Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Leo nliamua nichukue sh 30000 kwenye pochi yangu ili nikanunue mitoko mnadani nkapanda baskeli yangu nikashika njia lkn nlipofika nkashuka nkaanza kuikokota baada ya kupiga kama tambo 50 ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui historia vizuri kwa upande wa mahakama!! Lakini hapa jamvini kuna watu tofauti tofauti. Kuna wale jamaa walio tungua ndege wamepatikana fasta japo walifanya tukio porini sijui kwa vile...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Jaji Mkuu aliteleza ? Wakati wa uzinduzi wa jengo la Mahakama ya mashauri kuhusu unyanyaswaji wa watoto huko Mahonda - Zanzibar jana ulioongozwa na Rais wa Zanzibat Bw Mohamed Shein, Jaji Mkuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni katika mijadala ya bush lawyers,ni kwamba dhamana ya mali zisizohamishika hurudishwa endapo hukumu imeshatolewa na kama uliambiwa dhamana ni fedha,basi fedha hairudishwi,je hapa pakoje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeona mara nyingi mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo Karatu kufungua kesi za Jinai pasipo malalamiko au mashtaka kupitia polisi. Je, wadau utaratibu huu ni halali kisheria na katika kesi hizo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wabobezi wa sheria! Kuna kaka yangu fulani kwa sasa ni Askari, lakini wakati anaanza chuo alitembea na dada mmoja hivyo aka bahatika kumpatia mimba na sasa ana mtoto wa miaka 5...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
jana mtoto wa kike wa Dada yangu ana miaka 14 na bado anasoma alikutwa gheto akifanya mapenzi na Kijana mwenye umri wa miaka 17. kesi IPO police. je sheria inasemaje kwa vijana km Hawa walio na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninafanya kazi katika hoteli moja hapa Arusha kwa mwaka wa tatu sasa na sikuwahi kuwa na mkataba kwani tumekua tukizungushwa kwa miaka yote hiyo, sasa hivi ndio wanataka kutu sainisha bila ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni wakala wa Mpesa vodacom nahitaj msaada wa kisheria wa kuishtaki kampuni ya Vodacom kwa kuniibia Tsh. 300,000/=. Kesi yenyewe ipo hivi; Kuna mteja amekuja kwangu kutoa fedha kupitia mtandao...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
Hi wana JF, Bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku napenda kuuliza kuna hatua za kisheria ukimpatia mimba mwanamke aliyeko chuo? Kaka Mussa we relax bwana, huna kosa kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ya Mwaka 2016 wadau wa jukwaa la sheria, Baada ya mjadala mrefu na rafiki yangu wa karibu, nimeona vema kulileta hapa jukwaani ili kupata busara kabla moto haujavuka lami... Issu iko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wanajukwaa, asanteni sana kwa elimu kubwa unayoitoa na kutusaidia sisi tusiojua sheria, shida yangu kubwa na naomba msaada wenu wa mawazo na kisheria, mimi nilikuwa ni muajiriwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Naomba ufafanuzi kidogo juu ya hili jambo je kwa kuzingatia sheria za utumishi mwl ngaz ya shahada na stashahada wanaweza kuhamishwa idara kutoka elimu sekondari kwenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnamo mwaka jana nilichukua mkopo benki nikamtumia wife anunue kiwanja mkoa ambao tulikubaliana tutaweka makazi ya kudumu. Sisi sote ni wafanyakazi ila tulikua mikoa tofauti kikazi. Nilijibana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu Wanasheria, Kuna mwekezaji anataka amwodoe bibi yangu akidai kuwa eneo ni lake( na ikiwa sivyo Mwekezaji kaja 2011. Na bibi kanunua eneo hilo tangu 1990 na yuko mbali na mwekezaji.). Kesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni CC/99/2012. Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kulala na mwanafunzi wa sekondary, bila hata ushahidi wa kidaktari wala hata dada aliyekuwa rafiki wa mtuhumiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Endapo nimebaini mume wangu ameshiriki tendo la ndoa nje ya ndoa na nimepata Meseji kama ushahidi je naweza fungua kesi kwa huyo aliyetembea na mume wangu?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Posted by Bashir Yakub at Tuesday, November 24, 2015 NA BASHIR YAKUB - 1.JE KITU GANI KIFANYKE ASKARI ANAPOKUNYIMA DHAMANA. Kwanza ieleweke kuwa dhamana ni haki yako. Haki...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Wataalam wa humu JF naomba kufahamishwa Stahili ya Mtumishi yeyote wa Halmashauri je anapohamishwa kituo cha kazi ndani ya Halmashauri husika, anastahili kulipwaje kwa Ngazi ya Mshahara wa TGHS B...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kusoma LLB Chuo Kikuu OUT lakini nimechelewa kuanza sababu sina Ada. Wadau nisaidieni jinsi ya kupata mdhamini. Nafaya kazi lakini mshahara haukidhi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom