Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Salam Counsellors...natafuta Expert witness mwenye ujuzi wa maswala ya wanyamapori kwani inapasa aje kutoa ushahidi kuhusu maswala hayo Mahakamani.Anaweza kuwa muwindaji mtaalam,afisa Wanyama Pori...
Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kuhakikisha watuhumiwa wa makosa ya jinai wanapewa msaada wa kisheria.
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na watu imetupilia mbali pingamizi la serikali...
Msada kisheria naomba mnueleweshe kama unahitaji kujenga nyumba kijijini gorofa moja ndogo tu kama ya vyumba 3 chini na vitatu juu inakulazimu ufuate utalatibu au unajenga tu?maana naviwanja bado...
NAOMBA KUPATA UFAFANUZI
Kuna mafunzo nahudhuria ila kuna mabishano yamejitokeza kati matumizi ya neno "SHALL" na "MAY"
Sentensi kama
1. Government shall terminate the agreement .......
2...
naomeni msaada wa kisheria ili nijue pa kuanzia, mume wangu alifanikiwa kuanzisha kampuni kwa kushirikiana na raia wa kigeni mwaka 1998 ambapo alikuwa ni mwana hisa, mmoja wa wakurugenzi bahati...
Nimesikia kutoka idhaa ya Taifa ya shilika la utangazaji Tanzania TBC kuwa ile kesi mashuhuri inayovuta mioyo ya wengi imepangwa kusikilizwa mwezi march mwaka huu katika mahakama tajwa hapo juu...
Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right...
Ukifuatilia Post Za Watu Wengi Waliouliza Maswali Utakuta Hazina Majibu Kabisa Na Hata Zile Zenye Majibu Hazikujibiwa Kitaaluma Ya Kisheria,yaani Zimejibiwa Kama Na Mtu Tu Asiyesomea Sheria...
Nimewapangisha kampuni ya simu kwenye kiwanja changu wajenge mnara wa simu.... Kinachoniumiza ni jinsi walivyonikandamiza kwenye masharti ya mkataba... Walifuta kipengele cha ku'renew mkataba kila...
Ndugu wana jukwaa,
Nahitaji msaada wa kisheria kwa hatua za kufuata baada ya mama yangu kuzungushwa na kulipwa kidogo.
Kwa mujibu wa maelezo yake anatakiwa kulipwa 470,000 kila baada ya miezi...
Ndugu Wana jukwaa nahitaji Masada wa kisheria kwa hatua za kufuata baada ya mamaangu kuzungushwa na kulipwa kidogo.. Kwa mijibu wa maelezo yake anatakiwa kulipwa 470,000 kila baada ya miezi...
jamani wana jf ,nisaidieni mwaka jana tulivunjiwa vibanda vyetu huku maeneo ya tegeta wazo (nakalekwa) hakukuwa na taarifa yeyote juu ya uvunjwaji huo .walikuja watu wa msalaba mwekundu kutusaidia...
Sina uhakika vizuri kama ndoa hii ni aina mojawapo ya ndoa zinazotambulika kisheria, aina ninazozikumbuka ni ndoa za jadi, dini na serikali.
Kwa wenye weledi please naomba msaada wenu
Habari zenu.
Kuna hizi habari zimezagaa mitaani kuwa wapenzi wawili wa jinsia tofauti ambao hawajaoana rasmi (Yaani kuozeshwa rasmi na taasisi ya serikali au ya kidini inayotambuliwa na serikali)...
Msaada wa kesheria, sheria ipi inamhukumu mtu anayenunua ngono.Je kumhonga mwanamke kwa nia ya kufanya naye mapenzi ni sawa na kununua ngono? Mwisho polisi watawasilisha ushahidi upi mtuhumiwa...
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je akukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe?
Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema naomba ushauri nimepanga chumba mwenye nyumba anaishi hapo hapo ila yeye ana nyumba yake tofauti na wapangaji na na anajitegemee luku yake na wapangaji wana...
Imezoeleka kwamba kisheria iwapo mwanaume atatembea kimapenzi na mwanafunzi wa kike haijalishi awe ni Mwalimu au raia kawaida sheria hufuata mkondo wake, mwaka juzi nikasikia habari ya mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.