Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wasaalam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Niliajiriwa serikali KUU mapema mwaka huu baada ya kusota kwa zaidi ya miaka miwili mtaani katika masharti ya kudumu na mafao ya uzeeni na probation...
Nimefungua kesi mahakama kuu dhidi ya eco bank. Kuna mtu amefoji title kwa jina la marehem mzee wangu ambae amefariki miaka 15 nyuma. Huyo mtu amekopa bank 250m na akaweka dhamana. Mwishowe bank...
Habari wakuu naimani wazima wote,
Ningependa kupata mwongozo kuhusu sheria ya malipo ya fire kwenye nyumba. je malipo kwa ajili ya fire yanatakiwa yalipwe kwa kila chumba au ni kwa nyumba nzima...
anahitajika mwanasheria anayejua sheria na kutafsili ili asimamie kesi mahakamani.
Sharti: Awe around lake zone regions ili kupunguza unnecessary costs
kesi: Ya madai, based on academic...
Kuna familia ya baba,mama na watoto watatu wa kiume,kati ya wale watoto watatu wawili ni wa nje ya ndoa mmoja kwa baba na mwingine kwa mama,mmoja ndiye aliyezaliwa ndani ya ndoa ila wote walikuwa...
naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee...
Ninaomba kuijua kesi ya kihistoria iliyotokea miaka ya sabini ilikuwa inamkabili mkulima Wa isimani Bw.Abdallah Mwamwindi alikuwa anashtakiwa Kwa kumwua Aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Wa Iringa Marehemu...
Abari zenu wana JF, nimekuja kwenu naomba msaada, maana nilikua nakesi namtu, kaniibia kiasi chapesa, nilifungua kesi polisi hadi maakamani tulisha kwenda zaidi ya 2, kwasasa kesi inakwenda mwezi...
Habari
wanaJf?.
Kuna ndugu yangu ambae ni mtuhumiwa kwa wizi wa mifugo!. Ushahidi unaomweka hatiani hauna kidhibiti wala hajakamatwa kwenye eneo la tukio badala yake amekamatwa kwenye...
Wakuu naomba kunifahamisha kuhusu, uendeshaji wa makosa ya jinai mahakamai upande wa anayeshitaki? Mtu yeyote anaweza kushtaki na kuendesha mashtaka au ni jamhuri tu ndiyo inayosimamia mashtaka...
Ninavyo jua mimi Nchi hii inaongozwa kwa Sheria,Kanuni, na Taratibu, nimesikia katika vyombo vya habari kuwa Mkuu wa Wilaya alitoa Amri ya kukatwa kwa Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo kwa madai kuwa...
Naomba ushauri na msaada wa kisheria nimenasa audio ya watu wawili wakipanga jinsi ya kutafuta hati ya kiwanja changu.kwa sasa kiwanja hakina hati. nataka niwashtaki je nitafanikiwa na pia hii...
Wanajamvi,
Jamani kuna jamaa yangu amejenga karibu na mapitio ya maji na mwingine amejenga karibu na chanzo cha maji. Issue yangu ni je, hawa watu wote wawili wamevunja sheria moja? au kuna...
Hodi mm ni mtumishi wa serikali ni mtanzania mume wangu ni mkenya sasa naulizia fee ya residence permit na inapatikanaje iyo permit maana bado yupo kenya nataka aje nimechoka kuishi pekeangu...
Nijuavyo Kuna vyombo ambavyo haviruhusiwi kutembea usiku barabarani pia ni kosa kugongwa gari kwa nyuma.
Naomba kujua je mtu akigonga jembe la trekta usiku ni kosa? Na je polisi wakikagua trekta...
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana.
Ila je mke kama akinunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.