Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari za muda huu wana JF nauliza sheria imekaaje kwamba unaweza kugombea mwenyekiti wa kijiji ukashinda then mwaka kesho kwenye uchaguzi wa madiwan ukagombea tena udiwani. Sijui hii inaruhusiwa...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi.PICHA|MAKTABA Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu sheria inasemaje juu ya mtu aliyefukuzwa kazi ktk mashirika yasiyo ya kiserikali na kisha kuchafuliwa cv ktk mtandao?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni jamani maelezo kuhusiana na hili jambo..
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Nikijana nipo kwenye kundi takriban lina vijana 53 tua mpango wakufungua kampuni je ni haina gan ya kampuni ita faa na kwann. Na itachukua mda gan kuifungua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari nyote, Nimejaribu kutafuta sheria inasema nini kuhusu wafanyakazi wa kigeni wanao kuja nchini na kushika ajira ambazo ni haki ya vijana wa kitanzania,wana JF sheria inasema nini? Naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni ufafanuzi kwamba sheria inasemaje kuhusu kutohudhulia mahakamani siku ya kesi bila kutoa taharifa ikiwa wewe ni mshtakiwa katika kesi ya madai
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wale waliokwepo leo pale karimjee hall kulikuwa kuna habari kuwa TLS, Wangeweka majina yatakao apishwa kwenye website yao. Kuna mtu aliye confirm hiyo habari kwenye website ya TLS ? ...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari zenu wadau. Mimi ni mtumishi katika sekta binafsi, katika moja ya taaluma. Ningependa kusoma LLB huku nikiendelea na kazi ninayoifanya. Mfumo wa OPEN UNIVERSITY utanifaa? Ubora wa LLB ya...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Nashuhudia haki yangu akipewa mtu mwingine na hakimu mbwana wa mahakama ya mwanzo iliyopo korogwe(v) maeneo ya makuyuni-mombo
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema wana jf hasa jukwaa hili la sheria. Kuna jambo limenipa msukumo kuandika uzi huu kuomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni ndugu...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nina miezi minne kazini katika shirika binafsi. Ajabu ni mwajiri hajapeleka nssf kwa wafanyakazi wote. Je sheria inasemaje,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napata shida na Jirani yangu, anayefuga kuku wa kienyeji na kuwaacha huru wakizunguka mtaa mzima na kuharibu bustani za majani, miti, maua na uharibifu mkubwa wa mazingira! Nimemsihi awafungie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
vipi kwa kifo cha mwaka 1998 waweza kufungua kesi ya mirathi leo?Ni watoto 7wa mama tofauti,baba mdogo alijichagua kuwa msimamizi,sisi watoto wa bi mkubwa tulirithishwa kijijini na watoto wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha Ruaha nchini Tanzania ni miongoni mwa vyuo vitatu vikuu vilivyofeli katika mjadala wa kimataifa uliofanyika katika mahakama maalum ya ICTR mjini Arusha. Vyuo vikuu vitatu vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu,waheshimiwa wanasheria. Ijumaa nilipata homa kali sana mida ya usiku so nikaamua kwenda hospital ya jirani kwa matibabu ya haraka. Nilipofika nikachomwa sindano ya declofenac ili kushusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf hususani wataalam ndani ya jukwaa hili. Kusema kweli nimekuwa nikisikia tu hili neno likitajwa( affidavit), lakini sijabahatika kupata ufafanuzi wa kina kwamba ni kitu gani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nawasalimu wana jamvi, naomba yeyote anayejua kuhusu sheria zetu hapa nchini mimi nilikuwa nafanya biahara na jamaa fulni hlafu tukaja kukosana kabisa. Tukakubaliana kulipana ili mimi nimlipe...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Naomba ndugu wana JF mnisaidie ni hatua gani naweza kuzifuata za kisheria ili kuweza kumpata mhusika wa mwizi wa laptop ambaye baada ya kuiba laptop alipiga simu na kuomba kiasi cha fedha ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…