Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu!!
Naomba msaada katika hili..
Nipo Zambia nahitaji msaada wa kisheria, naweza kwenda wap ili nipate msaada, vp kwenye balozi huwa zinahusika kutoa msaada kwa raia endapo anahitaj...
Taasisi ya kupambana na rushwa ina kurugenzi nne zinazo saidiana katika utimjzaji wa lengo la kuzia na kupambana na rushwa Tanzania bara. Kurugenzi hizo ni
1. Dirrctor of investigation
2...
fidia ya ardhi nzega tumepunjwa,tumelipwa sh, 150 tu kwa mita skwea moja badala ya rate inayotambulika rasm kwa hapa nzega mjini ambayo ni sh.5000, waziri tumemwandikia barua yapata miezi mitatu...
Zanzibar kuna vituo viwili vya msaada wa kisheria ZANZIBA LEGAL CENTER na ZAFELA hiki ni chama cha wanawake wanasheria lakini kwa uzoefu wangu ivi vyote havina msaada sana katika jamii kwa sababu...
Ndugu wa jamii,naweza kupata msaada wa kisheria kuhusu ni njia gani za kufuata ili niweze kumripoti raia wa kigeni ambaye natilia shaka uwepo wake nchini na kibali chake cha kazi.
MI bado naona mahakama imebugi kiaina.CDM wana kesi nyingine za kumfukuza , kwani charge yake inasemaje.Anaweza fukuzwa kwa kesi ingine ili akishinda ya mahakama awe kafukuzwa na ingine.So...
Nimelazimika kuuliza hivi kwa sababu ya changamoto za hapa na pale za kila siku, mfano ukinunua bidhaa dai risiti ukiuza dai risiti kwa mujibu wa TRA! Mara nyingi nimekumbana na adha ya maana...
Jamani nimepigiwa simu na mama yangu mdogo kutoka mbeya mjini kuwa mtoto wake wa kike amewekwa mahabusu jana eti kisa rafiki yake wa kike toka nyumba ya jirani ambaye amemaliza form four mwaka...
Mimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo sasa nimepewa notice na mwenye nyumba notice ya mwezi mmoja tu wakati huo nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je sheria inasemaje kwa mwenye nyumba...
Naomba msaada wa kisheria hapa. Hawa jamaa wa kikosi cha zima moto wanapita katika maduka hapa babati na kuwalazimisha watu watoe hela Tsh 40,000/= kwa ajili ya certificate ya usalama wa moto...
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha kampuni,
niliona thread inayoeleza taratibu za kufata, lakini
mie kidogo nna maswali mawili matatu ivi.... Kuna
kampuni tayari ipo, ishasajiliwa na ina...
nahitaji mchango wenu hapo wadau maana nnachojua mimi
Polisi wanaruhusiwa kutoa Ulinzi tu na sio kibali!
.
Sijui kama niko sahihi!
Mchango wenu tafadhali
Jaman hivi ustawi wa jamii idara ya watoto, mbona hatuelewi, imagne mtoto anaishi na shangazi yake ,anamfanyia ukatili kwa kumpiga na kumnyima chakula,,halafu ofisi za ustawi wa jamii,,zina sema...
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
haya ndiyo maajabu ya chadema:-
(1) wabunge wa chadema mwaka 2010 baada ya kushinda ubunge kwenye majimbo yao ya ubunge mfano john mnyika, joseph mbilinyi, freeman mbowe, godbless lema, zitto...
Wakuu! naomba kufahamu malipo stahiki anayepaswa kulipwa mwajiriwa wa kudumu ambaye si wa mkataba endapo atandika barua kwa HR ya kuacha kazi yeye mwenyewe yenye notice ya mwezi moja si yamasaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.