Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nianze kwa kuwaita akina Peter E. Mselewa na wazoefu woote wa mambo haya. Ni hivi ndugu yangu alimkopesha rafiki yake 3m na dhamana ilikuwa gari yenye thamani zaidi ya hiyo na ilipaswa kuwa...
Nimekuwa nkiangalia hili tukio la wema kuvamia ofisi za Global publishers, na chamsingi labda watu wa sheria wanisaidie sheria inasemaje kama umeandikwa na chombo cha habari na hujaridhika na...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika,
Napenda kujua hatua gani naweza kuchukua juu ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa Mafao ya uzeeni PSPF juu ya kuchelewesha mafao ya uzeeni.
Mimi nimependa...
Tunatoa mafunzo ya biashara kwa vijana mbalimbali.
Tuna kampuni na leseni halali ya kutoa mafunzo haya.
Tunafikiria kuanza kutoa "Certificate of attendance" kwa wahitimu.
Je taratibu gani za...
Natumaini humu jukwaani nitapata ushauri nini cha kufanya,
Sisi baba yetu alifariki dunia mwaka jana mwezi wa nne,sasa kwenye bank ya NMB walituambia baada ya kufuatilia mirathi mahakamani mje...
Mimi nasoma chuo kikuu hapa Tanzania. Mwaka jana mwezi wa tisa nilinunua plot lakini niliporudi chuo ndugu zake na muuzaji ambao ni wa kike walienda mahakamani wakidai mimi na mwenyekiti wa mtaa...
Baada ya stori kuenea kwamba Mwigizaji RAY anahusika moja kwa moja na kifo cha mwigizaji STEVEN KANUMBA, mwigizaji huyo amezungumza yafuatayo kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM.
Amesema "Nimekua...
Ndugu wadau!
Kuna mwanamke mmoja nilishawahi kuwa nae kimapenzi na baadae bahati akapata mimba, tukapata mtoto mmoja. nikajaribu kumweka ndani awe mke wangu, tulikaa miaka miwili pamoja, alikua...
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa maafisa mbalimbali ya kwamba kuna mabadiliko yalifanywa kwenye Public Service Standing Orders, 2009, mabadiliko hayo yanaruhusu watumishi wapya kulipwa posho ya siku...
Msaada wana Jamvini
Mimi ni mfanyakazi wa taasisi fulani hapa Dar. niliaanza kazi tarehe 01/04/2013 mwajiri wangu hakunipa mkataba wowote wa maandishi.. lakini baada ya miezi 3 akanipandishia...
Nilimsikia Jaji mkuu akieleza kuwa wanaompango wa kufuta kesi zote zilizozidi miaka 2 hata kama ni za jinai!hii ikoje?Je imeshaanza kutekekezeka?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wana JF - Hii imekaa vipi Jamani....
Hili hapa ni kosa alilofanya, kanuni aliyovunja na adhabu yake -
Kosa -Kwa kujibu hotuba ya Jaji Warioba badala ya Kuzindua Bunge kama ratiba ilivykuwa...
Heshima kwenu nyote.
Namuomba yeyote mwenye soft copy ya CONSTITUTIONAL REVIEW ACT CAP 83 (R.E 2013)
anisaidie kuipost hapa it is urgently needed.
Natanguliza shukrani.
kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.