Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
si mtaalam wa mambo ya sheria ila nimetokea kuifatilia kesi ya mwanariadha wa south africa anayetuhumiwa kumuua kwa kukusudia gf wake reeva steenkamp.
hivi siri kubwa ya pistorius kushinda hii...
Kati ya mashirika ya umma hapa nchini yenye ufanisi wa chini na utendaji unaoshangaza ni idara ya ZIMAMOTO (FIRE BRIGADE).Ikitokea tukio la moto ndipo utakapowashangaa ZIMAMOTO,kwanza watachelewa...
Mwenzenu ni mwanachuo, nasoma sheria, na sisi ndiyo wa kwanza kuanzisha faculty hii hapa chuoni, hivyo hatuna msaada sana, Hivyo basi nitawasumbua sana naomb msichoke. tatizo langu kwa sasa...
msaada juu ya hili, je kuna uhalali wa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kutoka? na kama kuna uhalali, sharia inasemaje kuhusu waliotoka? na kama hamna uhalali...
habari wapendwa
mimi nipo macho, mwanangu mida ya saa saba amepata homa kali sana nimempima akawa 39 nimempa dawa ya kushusha joto afadhari sasa nangoja asubuhi nimpeleke kwa dk koja kinondoni ni...
Who will arrest the decline in image of our policemen?
Being a police officer in East Africa has never been easy.
But when the media aims directly at you, when...
Greetings to all great thinkers!!!
Nahitaji kuanzisha kitu kama kampuni au shirika fulani hivi kwa ajili ya ukopeshaji wa mikopo kwa wanajamii, naomba yeyote anayejua taratibu zinazotakiwa...
The Open University Of Tanzania has been ranked as the best Open & Distance Learning (ODL) University in East and Africa at large.
Source: Germany Investigation Co-operation.
S.8 of the Penal Code CAP 16 R.E.2002 talk about ignorance of the law nat to afford any xcuse fo any act or omission wich would otherwise constitute an offence....this has no problem with me.....I...
Kwanza salaam.
Nilinunua laptop tar 31.1.2014. Arusha mjini na nikapew warranty ya mwaka mmoja. Baada ya kuitumia kwa miez 2 imekufa spika nikaipeleka tar 10 mwez huu, wakaniambia baada...
Mimi nimeajiriwa katika kampuni ya wahindi. Nina ajira nao ya kudumu (permanent) huu ni mwaka wa 3 sasa. Juzi niliumwa sana nikaenda hospitalini. Baada ya vipimo dr anasema nahitaji vipimo zaidi...
wakuu salama humu
naomba mnijuze ni taratibu gani za kufuata wakati wa kununua ardhi ambayo haijasajiriwa au inayomilikiwa kimila (yaan haina hati)
maana land act haijazungumzia utaratibu kwa...
Ikiwa rasimu ya katiba ikajadiliwa katika bunge maalumu la katiba, kisha ikakubalika na kupitishwa ili ije kwa wananchi kwa ajili ya referendum, na pia katika referendum ikapita kwa kura nyingi...
Mim nina biashara zangu ninazofanya kama shughuli ya ziada ya kujiongezea kipato, kuna mtu alikuja na kuchukua vitu vyenye thamani ya tsh 400000 mwezi wa 12 mwaka jana na makubaliano ilikuwa alipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.