Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wadau,Naomba kujuzwa utaratibu wa kuchukua likizo bila malipo kwa taasisi za umma ukizngatia nina makato ya mkopo kwa kila mwez kwenye mshahara wangu
Salam wakuu,
mimi naomba kuuliza kama kuna applicability ya 'Double Jeopardy' kwa sheria za nchi yetu. Yaani kwa mfano,lets say mtu alikutwa na hatia katika kesi ya mauaji na kuhukumiwa maisha (...
Msaada wa kisheria jamani, ni kwamba kuna jamaa yangu amemshikia dhamana rafiki yake ambae anakesi ya madai ya kama milioni 15, maana yake nikwamba mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana na alitakiwa...
Mimi ni mfanyabishara wa bidhaa ndogo ndogo dukani. Siku chache zilizopita kuna mteja alikuja dukani kwangu kupata huduma, baada ya kumhudumia alinilipa pesa ambayo kwa bahati mbaya sikuwa na...
Mtu anapokua amevamia kiwanja chako na kujenga malalamiko yako unapeleka wapi, ofisi gani na kama ni barua ya malalamiko unaandika kwa nani? Ukiamua kuvunja kilichojengwa sheria inasemaje?
​Mie ni mteja wa BANK moja hapa mjini, mwaka jana jamaa yangu alinilipa pesa kwa njia ya inter bank money transfer kiasi cha 5000USD , matokeo yake bank wakai double ikawa 10,000USD,Mie...
Kuna wadad wawili wamekuja wilaya ya Korogwe kukamata kazi za wasanii zinazoibwa, wamewakamata vijana wakodisha mikanda kwa kuwa tu wanazo kompyuta kwenye vibanda vyao, wamewatoza faini za laki 5...
VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi...
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka...
habari wadau....nauliza wataalamu hivi ni kweli kisheria ukiacha kazi serikalini hutaajiriwa tena serikalini?? mazingira hapa yakoje...ntashukuru kwa majibu yenu
Mimi bwana! nimfanya biashara wa m-pesa iltokea ckumoja akajamteja dukani kwangu baada ya kutoa pesa,aliyo toa kumlipa nikamzidishia kama laki moja.Nahuyu mteja ilikuwa ni mara ya kwanza kuja hapo...
Nashindwa kuelewa ni kwa nini mahakama zinapokea migogoro ya vyama na wanachama wake.Mfano imetokea kutokuelewana kati ya mwanachama na uongozi wa chama,na chama kikiwa na katiba yake lakini...
samahan wataalam...nina swali, mm ni tayar mtumish wa umma katika taasis ya elimu ya ju, kuna kaz zmetangazwa hapa kazini kwa post ya juu zaid hivi naweza kuiomba kama waombaji wengne au kuna...
Law school ya Tanzania ya tia fora mwaka huu baada ya kuchagua wanafunzi wengi zaidi kuliko miaka iliyopita kama ilivyokuwa ada huko miaka ya nyuma. Ni leo jioni majina ya wanafunzia...
Habari wana Jukwaa.Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 32.nilifiwa na mme wangu sasa ni miezi sita toka afariki.
Alifia hapa DSM na kuzikwa kijijini kwao huko mkoa flani sitaki kuutaja jina kwa...
Jumatano ya tarehe 12/2/2014 itakuwa ya kipekee kwa Mwanamuziki Nguli nchini Mzee Nguza Viking alias Babu Seya. Ni siku ambayo yeye na mwanaye watasimama mbele ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania...
Nawaomba wanaJF wanaoijua sheria inayohusu wale wafanyabiashara wanaopiga muziki kwa sauti kubwa katika makazi ya watu inasemaje!yaani kuna kibanda kimoja hapo uswahilini kwetu hatulali! Nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.