Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Sisi binadamu tumepewa uwezo wa kutafakari na kutambua mabaya na mazuri.
Kanuni rahisi ya kujua kama jambo ni baya au zuri ni kujiuliza kama ingekuwa linakutokea kwako ungejisikia vipi, au kama...
Habari zenu wadau!naomba kueleweshwa kisheria kuhusu hizi recruitment Agencies!
Mwanzo ilikuwa inaitwa SPANCO ambayo imechukua tenda kutoka AIRTEL ya kuajiri watu nakuendesha CALL CENTER baada ya...
Wakuu heshima zenu,
Wandugu kuna rafiki yangu mmoja ameachishwa kazi kinyume cha sheria, naomba msaada wenu wa kisheria jinsi anavyoweza kupata haki zake.
Huyu bwana alikuwa akifanya kazi...
Habari wanajukwaa.
Naomba mnisaidie namna ya ku-calculate overtime kwa siku za kawaida na public holidays. Kwa ufahamu wangu, overtime ya kila saa ni mara moja na nusu ya mshahara wa kila saa...
wadau naombeni msaada wakisheria,mimi ninafanyakazi serikalini takriban miaka 7 hv,cha kushangaza mwaka jana walininyima mshahara kwa muda wa miezi mitano na kunifuta kabisa kny payroll baada ya...
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.
Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi...
Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia...
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
MaWakili wanatetea wavuvi haramu toka nje ya nchi, Wakili wanatetea wauaji wa albino, wakili wanatetea raia wa nje waua tembo wetu, wakili wanatetea wala rushwa wakubwa za EPA, NDEGE YA RAIS, BOT...
Traffic marshalls to take over city roads from March
Written by CHARLES MUGAMBI, posted on Feb 4, 2014 (10 hours ago)
A NAIROBI COUNTY TRAFFIC MARSHALL AT WORK
A traffic marshal at work...
Mwanzo mwanzoni,natoa taarifa hii si kama Kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika,yaani TLS. Natoa taarifa hii kama Wakili Msomi wa kawaida sana ambaye ningefurahi kuona Mawakili Wasomi...
Habari jf......
Mimi ni fundi wa sofa,sina ofisi permanent huwa nafanya kazi sehemu napopata kazi ila tangu mwezi wa tisa mwaka jana (2013) kuna shemeji yangu alihitaji nimfanyie kazi zake katika...
Ndugu wana JF. Endapo mtumishi wa umma (mwalimu) amepata barua ya kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine na alikuwa na madai ya mapunjo ya mishahara ya miaka kadhaa. Alishaprocess madai...
Waungwana,
Mnamo March, 2013, nilisaini mkataba wa kupangusha nyumba hapa Arusha kwa miezi sita(2,100,000) kwa maandishi. Bahati siku chache kabla ya kuhamia nikapata uhamisho na nikamjulisha...
Waungwana,
Nilisaini mkataba wa maandishi kupangisha nyumba hapa Arusha mwezi wa March, 2013; kwa miezi sita (marh - september) 2,100,000 bahati mbaya siku chache kabla ya kuhamia nikahamishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.