Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Chinese ivory smuggler gets record Kenyan fine
Tang Yong Jian in a Nairobi court ( Tang Yong Jian is the first person to be sentenced under the new laws
Continue reading the main story...
!
!
Salaam wanajamvi hili.
Leo naleta kwa mara ya kwanza shida yangu katika jukwaa hili, hasa kwa wazoefu wa kazi, wajuzi wa sheria za kazi na kwa yoyote mwenye uelewa juu ya "warning letter"...
Hali zenu wadau wa jukwaa hili....
Mwenzenu mie ni mama wa mtoto mtoto mmoja... (single mother) sasa huyu mzazi mwenzangu kiukweli naeza sema kanitelekeza kabisaaa... Kwani majukumu yoote ya...
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe amesema atashughulikia tatizo la polisi kulalamikiwa kula rushwa kwa
kuwaandalia mazingira...
WanajF,
Kuna kampuni ya nje tunataka kuingia nao mkataba wa kutuuzia bidhaa. Wameleta mkataba kwenye kipengele cha jurisdiction kinasema mkataba utatambulikwa kwa cheria za nchi yako (wameitaja)...
endapo baba aliwahi kuoa wake wanne kwa wakati tofaut tofauti yani anaoa af anaachana nae kisha anaoa mwingine. kumbuka ktk wake hao wanne alijenga namke wa pili tu. na huyo mke ambae badozyipo...
Kuna Professa Mmoja (Jina namhifadhi) ambaye alifariki Dunia 2012. Kaacha Majanga kwa watoto wake kwa Sababu hakuandika wosia kabisa. Huyo Mzee tumsamehe tu lakini nachoomba ni ushauri tu kwa...
Zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!
Tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao...
Wapendwa niko njia panda nilizaa na mwanaume lakn amefikia hatua ya kuoa bila kunitarifu kinyume na makubaliano ye2,kwa ss mtoto anahitaji ma2nzo pamoja na shule je nifanye nn ili huyu mtto apate...
je kuna sheria yoyote kwa swala hilo hapo juu kwa viongozi wa umma? Nchini kwetu TZ ??
Ni ki reffer impeachment trial; clinton vs monica
karibuni wana sheria
Kuna Idara ya Maendeleo ya Jamii na Idara ya Ustawi wa Jamii.
swali langu kwenu nyinyi wachambuzi nomba mnisaidie kutofautisha Idara hizi pamoja na sheria za kutumia wakati wa kutekeleza...
Wana JF
Nimekutana na makaratasi yenye kuonyesha yameandaaliwa na Mch. C. Mtikila wa Liberty International Foundation yenye kuelekeza madai ya ekari 199 eneo la Kurasini, Dar.
Nimeonelea...
jf mambo vpi?
mimi nilikuwa na mpenzi tumeishi kama miezi mitano sasa kuna siku mpenzi wangu akazikuta msg za demu mwingine kwenye simu yangu akaamua kwenda police na kusema nimemtapeli sh milion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.