Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ndugu wana JF, nilikuwa nahitaji kujua je sheria ya Tanzania inaongelea lolote kuhusu maswala ya privacy na data protection. Naomba msaada kutoka kwa kila mwenye ufahamu Ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba kuelimishwa hasa kwa wale ambao ni wanasheria je ni taratibu gani zinapaswa kufwatwa ili kumshitaki kiongozi katika mahakama ya kimataifa ya The Hague? Je ni nani mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mama jirani yetu kamuibulia mama yetu madai anamuibia mumewe bila ya kuwa na ushahidi wowote. Na kutokana na hilo amewapigia simu watoto wake na kuwapa uongo huo,hatimaye watoto wa yule mama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya upande wa utetezi kuwasilisha ombi la mshatikiwa Omar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi everyone, l have been asking myself that, how does law help the people who needs it and at the same they don’t have money to pay to the lawyers? Why do we have laws? What is the purpose of...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Ndugu wana JF, limekua ni suala linalokera sana, unapokutana na traffic, kwanza atajidai kuangalia road licence, insurance nk nk, baadae anakuambia naomba driving licence. Ukishamkabidhi ataanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Endapo wachumba (watu wazima zaidi ya miaka 18) wamefunga ndoa ya kiserikali kwa siri (bila ndugu wa pande zote kutaarifiwa), ikiwa ni shinikizo/sharti la mchumba wa kiume, kwamba ili atoe...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Wanajf habari zenu? Hope mko poa. Naomba kujuzwa juu ya hili,kama mtu alikua mkristo,akafunga ndoa ya kanisani baadae akabadili dini na kua muislam..je,ile ndoa yake ya kikristo bado inakua...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
A Saudi court has ordered the severing of a local man’s leg after he caused the amputation of the leg of another Saudi, when he shot him during an argument. The court left the door open for a...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
wakuu habari za majukumu, kuna ndugu yangu amepatwa na kesi ya mauaji ila kwa mujibu wa maelezo yake anasema siku ya tukio yeye alikuwa mkoa mwingine kikazi, kwa sasa huyo ndugu yangu anashikiliwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Je,katika sheria ya kazi nchini Tanzania kumetajwa muda maalum wa 'probation period' kabla ya kutia sahihi mkataba wa kazi? Kama 'ndio,' ni muda gani? Nakushukuru kwa kupita hapa. A Father.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mimi nina mke tuliedumu naye kwenye ndoa kwa muda wa mwaka wa 6 sasa na ndoa yetu tuliifunga kanisani. Lakini sasa ndoa imefikia mahali haiwezi tena kuendele baada ya juhudi...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
wakuu habari za majukumu, kuna ndugu yangu amepatwa na kesi ya mauaji ila kwa mujibu wa maelezo yake anasema siku ya tukio yeye alikuwa mkoa mwingine kikazi, kwa sasa huyo ndugu yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba nitoe rai yangu katika jukwaa la sheria kwa kutaka kujua sheria ya tanzania inasemaje kuhusu vyama vya kisiasa kuandaa vijana kwa kuwalinda viongozi wao(kama wao wanavyodai) kwangu mi naita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Kwa mara ya Kwanza ndani ya JF, naomba mnieleweshe juu ya Ongezeko la Serikali Kuu katika kila sekta, Mi niko Sekta ya Madini, Nafanya kazi katika Kampuni moja ya Kuchimba Dhahabu Kahama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kijana anaishi na mama yake temeke so,mama na baba yake walichana miaka mitano iliyopita sasa huyu kijana toka wazazi wake waachane hakuna malezi anayoyapata kutoka kwa baba mpaka kufiki...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Mahakama ya Mkoa wa Lindi Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imewahukumu majambazi sugu wanne, wakazi wa jijini Dar es Salaam kifungo cha jumla ya miaka 240 baada ya kupatikana na makosa ujambazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajf!! Mimi nataka kufahamu kwamba kwakuwa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ni sheria mama na ni zao la wananchi wa tanzania, na kwamba sheria za kimataifa ili zitambulikd...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niliwahi kusikia hii kesi, But sijawahi kusikia kama huyu Binti wa Liyumba alifungwa au hata Liyumba. JE, ilizimwa , inaendelea, iliishaje, Mahakama ipi ilihusika, watuhumiwa Wengine ?? nk...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kujua sheria zinasemaje kuhusu mambo mawili yafuatayo(1)Ikiwa mtu atakupiga picha bila ridhaa yako?(2)Ikiwa mtu atakutwa akifanya mapenzi kwenye gari lake.Naomba kuelekezwa vifungu...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…