Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kwa anayefahamu utaratibu wa kuvunja ndoa katika mahakama na mchakato mzima wa kugawana mali naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
709 Views
POLISI MKOANI MWANZA YAFAFANUA KWA KINA KUHUSU VIELELEZO VYA KESI VILIVYOIBIWA KITUONI HAPO WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika stoo ndogo ya Kituo Kikuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mwanasheria au taasisi inayotoa huduma ya wanasheria ili awe mshauri na mtetezi wa familia yangu pale inapobidi. Malipo yake yatatokana na makato yangu ya mshahara kila mwezi ,kiwango...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa narudi nyumani kama saa kumi na moja na nusu kutoka wilayani kwenda kwenye mji mdogo ninakoishi. Kati ya vitongoji viwili kuna shama la mkonge na hapo nilimkuta bint mdogo,kama miaka 14...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajf law,nnaswali ambalo ntashukuru kama litajibiwa. Suppose kutokana na matatizo ya kiafya either ya mmoja wapo kati ya Mke au Mume,hawawezi kupata watoto.Na wakaamua ku adopt...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanasheria naomba kujulishwa maana ya Matrimonial house.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani nina shida na soft copy ya land law, manual ya civil procedure na soft copy nyingine
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natambua kutoa mimba ni kosa kisheria kwa nchi yetu.Je ikitokea mama mjamzito akaenda kwa daktari kutoa mimba baada ya kurudi nyumbani akafariki kwa madhara yaliyosababishwa na kutoa mimba je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
COMPUTER ZA USHAHIDI ZILIZOTUMIKA KWENYE UWIZI WA ATM ZAIBIWA NDANI YA KITUO CHA POLISI - MAKAO MAKUU MWANZA Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu ...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari mafriendy zangu Mwenzenu bado niko gizani kuhusu jambo hili la sheria ya wanandoa, hiv kuna kifungu kinachosema kunakuachana kabisa na kutalakiana, na vipi kuhusu vitu mlivyochuma wote...
8 Reactions
63 Replies
10K Views
Habar wana jf? Naombeni msaada wa kuweza kupata wakili wa serikali, maanake kuna kaka yangu amekamatwa tangu januari mwaka jana 2012 hadi leo yupo gerezani na bado ni mahabusu. Amekamatwa kwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hon Retired Judge of the High Court of Tanzania, His Lordship Hon Mr. Justice Buxton Chipeta has succumbed to the calling of his almighty God today. Hon Mr. Justice Chipeta was a luminary having...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa ufupi Mashahidi hao, akiwamo mmoja wa madereva wa lori, walitoa ushahidi wao juzi wakiongozwa na jopo la mawakili watatu wa Serikali, Evetha Mushi, Pius Hilla na Stella Majaliwa. Moshi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwataarifu wale wakazi wa tabata kuwa makini na petrol station ya camel oil iliyopo sanene ambayo imeanza hivi karibuni kuwa wanamchezo wa kuiba mafuta pale wanapokuwekea. nasema hivi...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Viwanja wa Ndege Nchini, Deusdedit Kato (kushoto) Kamanda wa Polisi Kikosi cha Viwanja wa Ndege Nchini, Deusdedit Kato, amesema tukio la Watanzania kukamatwa...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Iwapo mtu anayetoa ushahidi akafanya hivyo sheria inaemaje?Hakimu ama jaji hupitia maelezo ya polisi?Ama hayana nguvu yoyote mahakamani?msaada tafadhali Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninakesi ya madai iko mahakama ya wilaya ilala,msimamizi wa mirathi ameuza kiwanja cha mirathi,baada ya kupeleka malalamiko mahakani anasema alishafanya mgawo wakati sio kweli,inventory anasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku. Leo nimekuja nikiwa na swali moja kuu. Kutoka kwenu naomba msaada wa kujua nini maana ya Jinai? na ni yapi hasa ni makosa ya jinai? Je kuna makasoa maalumu ambayo...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Back
Top Bottom