Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kwanza nitangulize shukran kwa wana jamii forum kwa kaz kubwa ya kuelimisha jamii.baada ya shukran hizo,naomba kusaidiwa kwa hil:mama ana kesi dhid ya aliyekuwa mme wake tangia 1999 akidai...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Naomba kusaidiwa kupata mwanasheria mzuri ili nikaandike wosia wangu. Nadhani inaeleweka ni jambo jema kuandika wosia mapema ili baadaye kusiwe na usumbufu kwa watoto na familia. Pia naomba...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wakuu katiba au sheria za nchi zinasemaje kuhusu raia wa nchi jirani aliyeishi na kuolewa kwa miaka mitano nchini kwetu...mdogo Wang kaoa mkenya kwa miaka mitano sasa ana kitambulisho name Cheti...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Idadi ya watanzania wanaohitaji hudma ya mawakili inazidi kuongezeka hasa maeneo ya vijijini ambako mawakili wachache waliopo hawapendi kufanya kazi mana wengi wamejikita dar na maeneo mengine ya...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, amelionya Jeshi la Polisi tabia ya kubambikia kesi wananchi kwa lengo la kupewa rushwa. Waziri Nchimbi aliyasema hayo wakati akifunga...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Ndugu wadau habari zenu nyote; before nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu nini watu hususani chama chakisiasa wanatakiwa kufanya nilichofahamu nilazima wapate kibali cha polisi ambacho wangekitoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utii wa sheria bila shuruti ni kampeni ya Dini zote. Hivi karibuni Jeshi la polisi Tanzania limeanzisha kampeni ya Utii wa sheria bila shuruti ikiwa ni moja ya miradi mikuu ya falsafa ya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto wa miaka miwili mahakama kutoa uamuzi wa kua achukuliwe na baba jamani ni bure, inawezekana kweli???!
0 Reactions
4 Replies
885 Views
Jamaa alioa mke na kufunga nae ndoa (ya imani ya kiislam) japo haikudumu sana ingawa walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume na wakapeana taraka kila mtu akaendelea na maisha yake huku mwanamke...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Janeth Jackson anayedaiwa kula njama za kumuua mume wake, Simon Jakson na mtoto wake wa kambo. Kwa ufupi "Ni mke wa mfanyabiashara maarufuwa Tanzanite Arusha, anayedaiwa kupanga njama za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Askari wa Jeshi la Polisi, Ramadhan Selemani (27), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shitaka la kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh. Milioni 121.5...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika toleo letu la leo ukurasa wa kwanza , tumechapisha habari yenye kichwa cha habari askari 117 wametimuliwa Polisi . Katika habari hiyo, imeelezwa kuwa, Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu, naomba kuuliza: Suppose unaitwa X, na jina kamili la baba yako ni YZ. Kuanzia shule ya msingi, O-Level, A-Level na mpaka chuo umetumia majina mawili tu (XY) na ndiyo yanayoonekana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilitaraji kufunga ndoa nae ya kiislam,maandaliz ya harusi yaliendelea vizur sana na nilifanikiwa kujitambulisha kwao na pia kulipia mahari kwa asilimia 85,lakin...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
je? kuna sheria yoyote inayo mfunga mtu aliyeishi na mwanamke takribani 2 bila kuwa na legal document kama wameoana. na endapo mwanaume akiamua kumuacha kuna sheria yoyote inayomulinda mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, je mtu akiachiswha kazi kwa kigezo kuwa shirika linafnya re-structuring na umefanya kazi na hao watu kwa miaka 3 hivi,je unastahii malipo ya namna gani. msaada wenu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi ya Msajili wa Mahakama Kuu Tanzania imetoa Orodha Kamili ya Mawakili Wasomi Tanzania Bara ambao wamekubaliwa na kusajiliwa hadi sasa. Nyaraka hiyo yenye kichwa 'Roll of Advocates' inaonesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom