Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
WAZIRI MKUU WA TANZANIA ASHITAKIWA RASMI....MAWAKILI 19 WAJITOA MHANGA
Kituo cha Sheria na Utetezi wa Haki za Binadamu (LHRC) na Chama Cha Wanasheria Tanzanyika vimefungua kesi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo...
Jamani KOVA upo wapi mzee wa matukio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jana Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kisukuru iliyopo hapa Tabata- Kimanga, Dar es Salaam, amefumaniwa LIVE akiwa anavunja mari...
Je, sheria inasemaje juu ya mwanaume anayekwepa jukumu lake la kulea mimba, lakini hapo hapo anadai kuwa mtoto akizaliwa ni mali yake na atamchukua?
Naombeni msaada kwa hili.
MKE WA DR. SLAA AZUA TIMBWILI MAHAKAMANI....
JOSEPHINE Mushumbusi, mke wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, jana alisababisha vicheko mahakamani
baada ya kushindwa kumtambua...
TAARIFA KWA UMMA
UKWELI KUHUSU MOROGORO PARALEGAL
Kufuatia taarifa za upotoshaji zilizoandikwa na mwanachama (Member) wa Mtandao wa kijamii wa Jamii Forums aliyejitambulisha kwa jina la...
Ibara ya 13(4) katiba ya Tanzania marekebisho 1977 inasema kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa...
Mkazi wa Kibirizi Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Ndelagakula Romedafee (23) akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Kigoma kwa kumbaka mtoto...
wakuu naomba busara zenu.
juzi majira ya usiku maeneo ya kigamboni nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu maeneo ya kigamboni mbele yangu nikamuona binti mdogo akiugulia maumivu ya tumbo alikuwa...
KWA UFUPI
Washtakiwa hao walikamatwa Julai 28 wakiwa na meno 70 ya tembo kwenye kizuizi cha Kauzeni Kisarawe.
Kibaha. Polisi wawili wa Kituo cha Oysterbay Dar es Salaam na raia wengine saba...
LL.B graduate and i really need an opportunity as an intern before i join law school next year either in a law firm or any legal related field.
i would kindly appreciate any advise or support on...
Mimi ni mjumbe wa baraza la usuluhishi la ukoo wa kichaga,na alitokea kijana fulani ambae alizaa na mke wa mtu,baada ya muda mchache yule kijana akafariki lakini yule mwenye mke akaficha siri...
Kenyan Indian Chief Accountant
AdvertiserLogin or Register Now to see Advertiser name
Location Nairobi
Job Category Accounting
Work Type Full Time
Salary Not specified
Employer: A leading...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi...
Mbeya. Mkazi wa Isanga jijini Mbeya, Yusufu Amani (39) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na Mahakama ya Wilaya ya Mbeya baada ya kupatikana na kosa la kumlawiti, kumpa mimba na kisha kumzalisha...
Tabora Uamuzi dhidi ya kesi inayowakabili wanachama watano wa Chadema yaliyokuwa yatolewe jana sasa yatatolewa Agosti 5. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Simon Lukelelwa alitoa...
Kundi moja ambalo lilikuwa likicheka huku wakimlowesha mwanamke mmoja kwa tindikali wakati mama huyo akiwasindikiza nyumbani watoto wake mapacha wenye miaka sita kutoka shuleni, wamehukumiwa...
katika hali ambayo haikutarajiwa ni hii hali ya ushirikiano wa kiutendaji kati ya Jeshi la Polisi na wananchi. Kupitia dhana ya Polisi Jamii wananchi wameweza kuwa karibu na wananchi na hivyo...
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala, aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.