Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mwajiri hajalipa michango yangu PPF miaka.2. Kila akikumbushwa anadai hana fedha na inaonesha hilo sio priority kwake! Naomba kujua cha kufanya kisheria ili kumlazimisha anilipe haraka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mtu amevamia eneo langu la shamba hekari 20 na kuharibu miti na kulima shamba hilo, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali na uvamizi. Mahakama ilitoa hukumu kwamba nikafungue kesi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kusema kweli Rasimu ya Katiba mpya ina mapungufu mengi ukiacha kosa la msingi la kuleta serikali Tatu lakini kuna hili ambalo limefichwa ndani ya hizo kurasa 240.Watanganyika na Wazanzibari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tindikali ikiwa katika ndoo tayari kwa kuuzwa, uchunguzi umebaini kuwa bidhaa hii hatari huuzwa kiholela jijini Dar es Salaam KWA UFUPI Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili unaonyesha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana mtandao wa voda uligoma kutokana na hitilafu iliyotokea katika mitambo yao na hivyo kuleta usumbufu kwa wateja wake mmoja wapo ni mimi. Ina maana kuwa shughuli zote za kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka ilikua 2008 july. Nilipomaliza masomo yangu ya chuo na kwenda nyumbani kusalimu wazazi. Nikiwa hapo nyumbani..Mama yangu na wanafamilia kwa ujumla walikua wakilalamika juu ya suala ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni dakika zipatazo Ishirini nipo maeneo ya Kinondoni Manyanya,kuna kijana/early 40 yuko ndani ya piki piki aina ya boxer bila helment,askari wanaotumia pikipiki almaarufu Tigo anamsimamisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Habari, Naombeni kujuzwa kisheria katika hili. Je, inawezekana kufungua kesi ya madai katika mahakama ya wilaya na kisha mimi mdai nikaweka wakili wa kuniwakilisha katika kesi hiyo pasipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,ni muda gani natakiwa kusubiri ili kupata fedha zangu za nssf pindi ninapokua nimepunguzwa kazi na mwajiri wangu?kwani nimepunguzwa kazi sababu mwajiri wangu ameishiwa kazi naitaji pesa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Alifikishwa hapo polisi central mwanza jumamosi tar 10/8/2013 na hadi leo hii ijumaa tarehe 16/8/2013 bado yupo polisi. Binti huyo wa miaka ipatayo 14 anayesoma suke ya sekondari Buhongwa kidato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, napenda kujua kama inawezekana kwa hapa Tanzania kuanzisha taasisi/kampuni binafsi ya kufanya upelelezi wa makosa ya jinai na hatimae kuandaa mashtaka na kusimamia kesi hizo mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Napenda kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa JF,mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi hapa mjini toka nianze kazi sijawahi pata mkataba wa kazi na toka nianze kazi sasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwajiri hajalipa michango yangu PPF miaka.2. Kila akikumbusha anadai hana fedha na inaonesha hilo sio priority kwake! Naomba kujua cha kufanya kisheria ili kumlazimisha anilipe haraka nitakapoacha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua kiundani sheria ya ndoa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesikitika sana na sasa hiki chombo cha NSSF kitakuwa kimya mpaka lini kwani kuna baadhi ya watu wameingia na kusema kuwa wameacha kazi na hali bado ni wafanya kazi na wanapewa mafao yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willbrod Slaa. KWA UFUPI Akisoma maelezo ya awali, Ndimbo alidai kuwa kati ya Aprili na Mei, 2012, mshtakiwa alijitambulisha kwa Dk Slaa, Lema na Profesa Safari kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), ya kukata rufaa dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam (RCO), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Abdallah Zombe na...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Wanajamii. naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia Tanzania law of Contract Kwenye PDF aniwekee hapa. Natanguliza shukurani hasa kwa Mwanakijiji
1 Reactions
11 Replies
20K Views
Back
Top Bottom