Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Historic ruling means Canadian mining company to be tried on home soil for abuses abroadBY LIAM BARRINGTON-BUSH JEN WILTON | JULY 24, 2013
TORONTO A ruling made on Monday by Supreme Court...
Salamu wana JF. Kuna mtu ameniomba msaada wa ushauri, nimeshindwa kumshauri maana mambo ya sheria sijui. Rafiki yake anataka kumuuzia nyumba iliyojengwa kwenye eneo ambalo bado halijapimwa...
Nimeangalia video ya Jicho Pevu (Jicho Pevu: Ghururi ya Saitoti - Uchunguzi wa kifo cha Saitoti) inayorushwa na KTN Kenya.
Ukiiangalia na ukalinganisha na yanayojiri Tanzania, kuna mambo mengi...
Serikali yapitia sheria ya kemikali kudhibiti matumizi mabaya ya tindikali.
Kufuatia matukio ya matumizi mabaya ya kemikali ikiwemo tindikali kushamiri hapa nchini serikali imesema inafanya...
Sheria ni kitu cha muhimu katika nchi yeyote. Sheria zinapokuwa sahihi na zinazokubalika husababisha nchi husika kuepuka misukosuko mbalimbali ya kijamii. Pamoja na uzuri wa sheria za nchi yetu Ya...
Je sheria ya ndoa inasemaje kuhusu mwanaume aliyetelekezwa na kukimbiwa na mke wake baada ya mwaume kupata ajali iliyo sababisha kuwa mremavu na kuwa tegemezi kwa mkewe je mwaume anayo haki ya...
habari za saa hizi wana jamvi hili.kwanza nawashukuru kwa michango mnayotoa humu ktk kufungua ufahamu wa wasomaji.
mie leo naomba kuuliza hivi:iwapo mahakama itathibitisha pasi na shaka(katika...
KWA UFUPI
Hoja yetu kuu hapa ni kwamba, wananchi wamejaa woga na hofu kwa kutokuwa na uhakika wa usalama wao. Jambo linalochochea hali hiyo ni Jeshi la Polisi kutoonekana kufadhaishwa wala...
Kwa kutamka maneno haya, na kueneza hii genocide ideology, Mtikla anaweza kushitakiwa wapi? Hasa hao Watutsi wa Rwanda acha waondoke kwani walioko Tanzania ambao ni Wahangaza na wengineo tunawajua...
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo...
Heshima mbele wakuu, baada ya kufanya biashara zangu kwa muda mrefu kama sole proprietor, sasa ninafikiria kusajili bashara zangu as a limited company.
1. Nisubiri hadi mtoto...
Naomba msaada wana Jf,maana nimejaribu kupitia sheria ya ndoa (law of marriage Act RE:2002) na law of the child 2009 na pia nimejaribu kuptia UDHR na sijapata kaifungu wala ibara inayoonesha kama...
I Employed as a Teacher from2008 in Hardship Environment in the Bush and I Served there for four years.It was Named Matipwili sec School in Bagamoyo near Saadani national park.Once it was executed...
KWA UFUPI
Baada ya mshtakiwa huyo kulalamika hivyo, Hakimu Katemana aliutaka upande wa mashtaka uwasilishe hati ya kuzuia dhamana ambayo hata hivyo, hawakuwa nayo licha ya kuwaongezea saa mbili...
In this DVD seminar Robert Kiyosaki, author of the international bestseller Rich Dad Poor Dad talks about how the rich use businesses to create wealth. Some Learning points from this DVD: The...
Kuna ndugu yangu anasota mahabusu, tulishindwa kumwekea dhamana Mahakama ya mwanzo baada ya hakimu kuweka masharti magumu ya dhamana. Tuna mashaka na mwenendo wa kesi ya ndugu yetu katika mahakama...
Nilikuwa nafanya kazi katika shirika fulani, na salary slip yangu ilikuwa inasomeka kama ifuatayo gross salary 200000, transport allowance 100000,medical allowance 100000,house allowance...
John Tendwa
KWA UFUPI
Akizungumzia kuhusu viongozi wa vyama vya upinzani kupokea kwa nderemo kustaafu kwake, Tendwa alisema wala hashangai kuyasikia hayo kwani inaonyesha kwamba kazi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.