Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Hakika hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini,jina tunakuhifazi.Kitendo chako chakuomba rushwa ya sh/700000 hakifai.Kumbuka wale ulio wachukulia hizo pesa nibinaadam kama wewe.Kama ulijua huwez...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
polen na kaz za kujenga taifa waungwana,..nimepewa barua ya kuachishwa kazi tarehe 1 agost ikinitak kuacha kaz tar.2 agost,na nimekaa kazin miez 6..sababu za kuachishwa kazi hazijasababishwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari Wajumbe,nlikua naulizia kama kuna uwezekano wa kucertify documents zangu kwa mawakili au wanasheria waliopo JF kwa bei ya kusaidiana mana ndugu yenu naangaika na mambo ya vyuo na wanasema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hellow ...,am a law student studying at open university.am glad to be part of u and am sure u will help me clear my doubts in the eyes of the law....baba yangu alioa mtoto wa kigogo mmoja hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Morogoro kujibu mashitaka matatu yanayomkabili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kumeibuka tabia ya polisi hivi karibuni kuwakamata watu kwa makosa na kuwapekua na wakiwakuta na simu basi uanza kupekuwa simu zao kujifanya kuwa wanatafuta ushahidi fulani. Je, kwa polisi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mimi nina mdogo wangu ameshitakiwa kwa kesi ya wizi 2500000 n'a tajiri yake,kisha akasweka rumande kwa wiki mbili bila dhamana,baada ya hapo akapelekwa mahakamani pia akakosa dhamana kwahio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkurungenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), amemfutia mashtaka ya uchochezi Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, yaliyokuwa yanamkabili. Jana saa 2:00 asubuhi viunga vya...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Wadau mwenye manual ya legal method iliyo andikwa na mukoyogo na makaramba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
YAH: UNYANYASAJI WA ABIRIA Nimekuwa nikisafiri na mabasi yaendao mikoani na mara kwa mara nimekuwa nikishuhudia unyanyasaji wa abiria kwa namna moja au nyingine kutoka kwa wahudumu wa mabasi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
nlikua nnaulizia kuhusu sheria ya kazi ya Tanzania kua Kampuni ikiwa inavunja mkataba kwa mfanyakazi inamlipa mshahara wa wiki Moja tu kwa mwaka yani unalipwa mshahara wa siku 7 tu katika mwaka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Zipo taarifa kuwa Mch Jean Felix Bamana (DRC) (45) amekamatwa kwa Kwa jarida BNG/RB/862/2013 na IR682 ya tarehe 21 Feb,2013 kosa likiwa kumutoroshwa Mwanafunzi wa St. Mary Goreth ambaye ni mtoto...
4 Reactions
68 Replies
12K Views
Wadau, nimesoma kwenye MWANANCHI leo trh 20 Augosti kwamba Sheikh Ponda amefikishwa Mahakamani Morogoro na kusomewa mashitaka ya uchochezi. Makosa hayo ni; 1. kuwashawishi Waislamu wasikubali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwezi wa kumi na moja 2012 niliajiriwa na company moja hapa dar nkapewa mkataba but kutokana na maslahi nimeamua kutafuta kazi kwingine na nimepata so nataka niterminate mkataba na company ya...
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Baada ya hukumu ya miaka 3 jela kwa viongozi wa DECI na kuamuriwa kuwarudishia pesa zao wale waliopanda mbegu, mimi nawauliza wataalamu, kweli pesa hizo zinalipika? Ni utaratibu gani mahakama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
(1) Tupambane na wala rushwa (2) Tupambane na watoa rushwa
0 Reactions
0 Replies
788 Views
nilikamatwa na trafic police tar 17/08/13 maeneo ya mwatex mwanza kwa madai kuwa gari nilyo kuwa reflector nichakavu kwa hivyo nlipe faini nilpo cma sina fedha alichukwa leseni yangu nitaipata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nchi gani nzuri nataka kwende kusomea shahada ya sheria
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu habari ya jioni,samahani naomba kuelekezwa ilipo mahakama ya wilaya ya kinondoni au mahakama yoyote inayofikika kwa urahisi tokea mwenge au ubungo, aksante in advance.:help:
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Ndugu wadau kwa yeyote mwenye mapenzi mema anayefahamu anwani au barua pepe ya jaji kiongozi au anayeweza anisaidia ni jinsi gani ninaweza kutuma malalamiko yangu yaweze kufika kwake moja kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom