Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ilikuwa jana majira ya jioni,moto ulionekana kuunguza mbuga katika eneo la Jeshi Kikosi cha Ihare nyuma ya Uwanja wa Ndege Jijini Mwanza. Abiria tulishushwa ndani ya Bus na Askari wa Jeshi la...
Wanajf nisaidien, katika sheria ya ndoa mke na mume ni kitu kimoja, je nichukue hatua gani ninapokwamishwa kuhama kumfuata mke wangu alipo? Au sheria kiutumishi inatambua mke atamfuata mume tu...
SHEIK PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI TENA.....KESI YAAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA 11
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za...
Eti naombeni ufafanuzi kuhusu hili eti mtu aliyefunga ndoa Kanisani (yaani ndoa ya kikristo) baada ya muda kama miaka mitatu ikatokea kutoelewana wakatengana eti kuna uwezekano wa hiyo ndoa...
Wakuu,
kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao.
kwa ulaghai...
Leo nimekwenda kumtembelea rafiki yangu office kwakwe muda mcheche polis wakaingia kwenye hiyo office na kumkamata yule rafiki yangu na polis wakataka kunichukua na mimi hapo ndio nikawauliza mimi...
Nilikua na kesi ya madai mahakama ya mwanzo ,nilimshitaki msimamizi wa mirathi kwa kuuza kiwanja cha mirathi,ila yeye akamwambia hakimu kuwa alishafanya mgawanyo wakati sio kweli,akaambiwa apeleke...
kuna dada yangu kazaa watoto wawili na mwanaume ambaye hakufunga naye ndoa ya kimila wala ya kikanisa ila waliishi pamoja kwa miaka 6. kwa sasa wameachana tangu 2005 wakati huo first born alikuwa...
Wakuu naombeni msaada wenu, Kuna mteja wa Bank moja wapo hapa tanzania yeye amefika bank akabaini kuwa salio lake limepungua kupita kiasi, baada ya kufuatilia akajibiwa kuwa fedha yake imetolewa...
habari za asubuhi wakuu, kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Tanzania tumekuwa tukishuhudia ukiukwaji wa haki za mlaji katika maeneo mbalimbali.
Kwa sasa kuna jumbe za simu zinawafikia watumiaji...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha jana imekataa ombi la hati ya dharura ya dhamana ya mke wa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Janeth Jackson (32), anayedaiwa kupanga njama za kumuua...
TOEFL/IELTmwenye uzoefu wa haya majaribio ya kimombo anipe uzoefu tafadhali...
Gharama,wapi inatolewa hapa bongo, maandalizi yake ili ufaulu vyema N.K.
Shukrani sana
Ni story ndefu kidogo lakini kwa ufupi ni kwamba bosi wangu wa mradi-Muhindi(Project Manager) kanishutumu mimi kama mwizi iliyopelekea kuninyima allowances zangu na kunipa barua ya onyo(Memo)...
Ndoa ya mdogo wangu imevunjika (ameachana/kutengana na mke wake),jamani sasa yeye ni mkristo na ndoa kikristu hiavunjiki ila anataka kutoa talaka kwa kufuata sheria za mahakama,tunaomba mtusaidie...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, leo inaanza kusikiliza kwa siku tatu mfululizo kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA).
Lema anadaiwa kutoa kauli kuwa Mkuu...
Habari zenu wadau msaada kwenye tuta katika mchakato wa kubadilisha au ku ammend baadhi ya vifungu katika sheria ya ndoa je mchakato huo umefikia wapi kwa sasa? Au ni mapendekezo gani yaliyotolewa?
Salaam wadau Nauliza kwa nia njema kabisa. Haya mambo ya polisi kukamata kamata viongozi wa chedema tena kwa njia dhalili hayawezi kukomeshwa? Na kama inawezekana ni vipi viongozi wangu wa...
Ni kesi ya madai
Mimi ndo mshtaki
wiki ijayo nilitakiwa kupeleka shahidi ila nimepata udhuru ila shahidi yupo tayari. Je anaweza kwenda peke yake?
Msaada tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.