Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mwenye uwezo wa kupata hukumu iliyotolewa jana na Court of Appeal aturushie tafadhali for learning please
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Mfumo wa usikilizaji wa kesi na kutoa hukumu mahakamani una walakini kwani kesi ambazo upelelezi umekamilika na kusikilizwa bado hazitolewi hukumu katika muda mwafaka. Nina mfano mmoja wa jamaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdogo wangu form 4 na credit 5. Je akisoma na kufaulu certifacate in law anaweza kusoma LLB hapo UDSM?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hv wana Jf inawezekana kua na advocate/lawyer wako binas?? Awe kama consultancy ila awe anafanya kaz zako kila unapohitaj service yake
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim, amelitaka Baraza la Katiba Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema kumekuwa na changamoto ya uharakishaji wa mashauri ya dawa za kulevya hali inayoifanya Serikali kufikia hatua ya kufikiria kuwa na mahakama maalumu.Pinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari yako ndugu mwanajamii? Ngoja niende kwenye swali moja kwa moja maana wengi wetu ni wavivu wa kusoma. Hivi ni taratibu gani(kisheria) ambao mtu anapaswa kuufuata pale ambapo jambazi atakua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimezurumiwa na kaka angu.. ni hatua gan za kisheria nipitie ili anilipe?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Associated Press= PHOENIX (AP) - An Arizona woman who spent more than two decades on death row was released on bond Friday after a judge ruled there's no direct evidence linking her to the death...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
samahani, nauliza kuhusuk ugawa mirathi(mafao ya kazi ya kila mwezi) kwa asilimia kwa wanafamilia, je kuna umuhimu/ulazima na kama kuna madhara ni yapi. Nb. Familia ni ya mjane mmoja ila kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee wangu alikua na kesi na mama mmoja hivi mahakama ya mwanzo. Huyu mama alikuja nyumbani kwetu kuomba msaada tumuhifadhie gari yake hiace kwa sababu kuna uzio, kwa muda wa wiki mbili maana ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambodia ridhaa wanne wa Kitanzania wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 kila mmoja nchini Mauritius baada kupatikana na makosa ya kuingiza nchini humo madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Dereva wangu bodaboda alilaza pikiki sehem ya kulaza magali kwa kulipia usiku pakavamiwa ikaibiwa pikipiki yangu tu!!
0 Reactions
1 Replies
877 Views
haleluya! napenda kujua ni matatizo yapi wanawake wanakutana nayo juu ya haki yao ya kumiliki mali chini ya sheria za kiislam, sheria za kimila, na statutory law
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaamz, Yupo mama kaniomba ushauri juu ya ndoa yake, nami nimeona suala limekaa kisheria zaidi, hivyo naomba ushauri/msaada wa nini kifanyke. Mama huyu ana mgogoro wa ndoa yeye na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna wanandoa wametangana, sasa walifanikiwa kupata mtoto ambae ana umri wa miaka 2, chanzo cha wa kutengana kwao wanakijua wao ila mwanaume analalamika kuwa mke wake anampenda ila sasa hajatulia...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
i am thinking of the three government as proposed by constitutional committee if passed. what will be the legal status of the three presidents in international arena
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Kosa kubwa tulilolifanya enzi zile ni kuwaangalia watanzania wenzetu wakiyaibia mashirika yetu ya umma kama RTC, NMC, Sukari, Sukita, n.k tukidhani hayatuhusu. Baada ya mashirika yale kufa na...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mdogo wangu anategemea kumaliza diploma ya sheria Eckenforde University. Anaweza kupata mkopo akitaka kusoma LLB? Vipi taratibu na sifa za kujiunga chuo cha Mahakama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu wamevamia eneo langu hekari zaidi ya 30 na kuharibu miti na kulima,zaidi wananitishia maisha, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali mahakama ya mwanzo lkn Hukumu ilitoka kuwa nikafungue...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom