Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wandugu..mimi nimefungua kashughuli ka duka la reja reja. kwa kua nimekua ni mtu wa kutoka mara kwa mara nataka niajiri mtu kwa mkataba mdogo ili walau niweke mazingira ya ulinzi wa...
Is the 26-year-old Tanzanian woman a victim of human trafficking or is she a liar who is trying to take advantage of a little-used section of the Immigration and Refugee Protection Act to remain...
Ndugu zangu naombeni msaada wa sheria inayohusu haki ya msimamizi wa mirathi baada ya mirathi kutoka.
Mama yangu alipata mtu ambaye alijitolea kua msimamizi wa mirathi, lakini baada ya Mirathi...
Chief Executive Officer kutoka nchi "X" ambaye ni shoga.Ameingia nchini Tanzania kwa lengo la kuja kuangalia wanafunzi yatima ambao wanasomeshwa na NGO anayoiongoza yeye mwenyewe kama CEO.Mara...
Posted by GLOBAL on August 27, 2013 at 8:00am
Na Waandishi Wetu
VIGOGO 111 wanaosadikiwa kujihusisha na biashara yharamu ya madawa ya kulevya nchini wameanza kuonja 'joto ya jiwe' kufuatia...
Ndugu JF Family,
Naomba mnisaidie, niko Mbeya kikazi japo pia ni nyumbani Gari la matangazo linapita katika maeneo yote ya mbeya na viunga vyake kutangaza ugawaji wa Viwanja vya Ujenzi eneo la...
Naomba msaada wa sheria, kuna ujenzi w brbr wilaya ya nzega, waliorodhesha miti,ukubwa wa eneo wa brbr itpit. miezi sita htujalipwa hy fidia, juzi wmetumia viongozi w kijiji wawash wishi wakubri...
Ndugu wana JF. Kuna mwalimu mmoja wa kiume ambaye amejitolea kufundisha kwenye shule moja ya sekondari inayomilikiwa na serikali. Siku moja aliitwa na mkuu wa shule na kuambiwa kwamba yeye ni...
Ndugu wana jamvi naomba kujua sheria inasemaje pale ambapo afisa utumishi wa wilaya amesomewa mashtaka ya ubadhirifu mahakamani lakini bado yupo ofisini.
Hakika ukifikishwa ktk kituo kidogo cha polisi Lamadi wilayani Magu mkoani Simiyu, uwe na kosa kubwa au dogo utakutana na mkuu wa kituo hicho ambaye kashapewa jina la "laki" kutokana tabia yake ya...
Habari zenu wana jukwaa?
Kuna jamaa yeye ni fundi magari (kunyoosha & kupiga rangi), anafanyia kazi zake ktk garage za mtaanii.
Hivi karibuni alifuatwa ktk garage na jamaa anayemfahamu akimtaka...
shkamooni! je nihalali kwa balozi furani anaye liwaklisha taifa furani katika nchi furani, kushiriki katika shughuli za kisiasa za nchi hiyo? kwa mfano kuhudhulia mkutano wa chama cha siasa
nimechaguliwa kujiunga na certificate ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam. naombeni kujua kama kuna utaratibu wowote kuhusu hostel. pia mnanishaurije hii coz ni nzuri kweli?
mimi ni nafanya kazi vodacom kama call centre agent katika kitengo cha customer care ila nipo chini ya requinment agency inayofahamika kama erolink amboyoimechukua tenda ya kuaili watu pale...
Mida hii niko kwenye tv hapa naangalia mambo yanavyo endelea huko kwenye mahakama ya kimataifa ICC huko The huge naona hawa mawakili hupande wa utetezi wamejipanga sana naomba kuuliza hivi...
Wandugu, hivi mauaji ya albino Tanzania, yanaweza kuwa na sufficient ingredients za kosa la genocide ambalo limo kwenye sheria ya mkataba wa Roma (ICC statute) ili wat wanaooganise au kuua albino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.