Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Inasikitisha, watuhumiwa dhidi ya MAUAJI ya Stephano Bahati (14/05/2010), aliyekuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo jijini Mwanza wote wameachiwa huru. Kibaya zaidi aliyekamatwa (Jumanne Osca)...
Wadau Naombeni Msaada hapa wa kupata hizi sheria za kila mfuko wa Jamii niangalie tofauti iko wapi na pia wapi ni kuzuri kwa maisha ya badaae...maana kila mfuko unajigamba sana..!
Chezea maisha ya...
Habari Wakuu!
Mimi ni mtanzania nina ndg yangu anataka tufungue company nami nilikuwa na biashara yangu binafsi inayotambulika kisheria nikilipa kodi zote stahiki,Sasa nataka kuifunga na kufungua...
Jaji ametoa hukumu/ uamuzi kuwa wanaume ni madereva makini/wazuri zaidi kuliko wanawake. Hivyo, shule za udereva ni ruksa kuwalipisha wanawake ada kubwa zaidi.
Jaji Javier Albar wa Uhispania...
Wana JF
Tafadhali nifahamisheni kwa Wa Tz wanaoishi njee ya nchi na wanataka kurudi Tz
Jee unatakiwa kuwa nje ya nchi kwa muda gani ili upate msamaha wa kodi mfano wa Gari?
Kuna rafiki yangu...
Habari ndugu, mimi nilinunua eneo ambalo lilikuwa na barabara ya kufika kwenye eneo hilo. badae akaja akanunua mtu mwingine mbele yangu pembezoni mwa barabara. cha kushangaza huyu jamaa aliyenunua...
Natumai nyote mnafanya vyema ktk harakati za kuijenga Tanzania.
Hivi karibuni nimesikia watu wakidai kuitwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. (mimi nikiwa mmoja wao ambaye nimeahirisha kwa...
Ni muda mrefu sasa wanaharakati mbali mbali wamekuwa wakipigia kelele swala hili. Nchi kadhaa duniani ikiwemo Kenya wamefuta adhabu hii.Kwao hii ni jinai;mwalimu au mzazi ukibainika amemchapa...
Habar wanajamvi hili,
Ningependa kujua ni sheria ipi au kifungu kipi cha sheria anachotumia rais kuteua washauri wake????
Maaana hao washauri ni kama hawaijui kazi yao,na elimu ni pungufu kichwan...
Napenda kutoa pongezi zangu kwa wansheria wa chadema. Ukweli ni kwamba tunamwona LIsu zaidi kwa sababu yeye ndio anaonekana kwenye vyombo vya habari zaidi bungeni na ni msemaji wa chadema kuhusu...
Ndugu wana JF. Kwanza pokeeni salamu zangu. Napenda kuwauliza endapo mwalimu wa shule ya sekondari amezushiwa uongo na mkuu wa shule kwamba anawakusanya wanafunzi na kuwachochea ili wafanye fujo...
People who post explicit pictures of exes online face jail sentence after 'revenge porn' is outlawed in California
Legislation passed to tackle growing problem of 'revenge porn'
Spurned lovers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.