Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi nina mtu nimempangisha nyumba yangu. mkoa tofauti ninapoishi,
Mkataba nimeuatach na email hii,
Kabla ya mkataba huu kwisha nilimtaarifu kwa njia ya simu mpangaji wangu kwamba nitapangisha...
Heshima wana JF, Naomba kujua adhabu ya mtu anayekamatwa na pembe za ndovu kisheria ikithibitishwa bila shaka mahakamani. Kuna jamaa yangu amekamatwa nazo.
naomba msaada mwenye waraka wa unaohusu categorization nina shahada ya elimu halafu nina MBA yaani master of business administration,wamezingua kunibadilishia kada niliomba kufanya kazi kama afisa...
wana jf naomba msaada wa sheria katika jambo hili.
Kuna jamaa yangu alinunua kiwanja kwa x na akawa amejenga nyumba .wakati nyumba inakaribia kumalizika amejitokeza mtu y akadai kuwa ile sehem...
Naombeni msaada wa kisheria juu ya hili.
Ndugu yangu kafungiwa account yake ya bank kwa amri ya polisi. Kisa katuhumiwa kuiba hela katika kampuni anayofanya kazi.
Je kisheria polisi wana...
Diwani wa kata ya Mabogini. Moshi Vijijini, Albert Msando (Chadema) jana alikuwa kivutio mahakamani baada ya kujitokeza na kumtetea Diwani wa Kata ya Machame wilayani Hai, Rajab Nkya (CCM)...
Na Happiness Katabazi MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetengua adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, Machi 21 mwaka huu...
Kuna kiwanja kimeingiliana na jirani yangu, ambapo kwenye hicho kuna nyumba yangu na ya kwake, sasa kwakuwa nyumba yake ni kubwa inavyumba 8 anataka achukue hati ya hicho kiwanja nyumba yangu ina...
Hello! Nataka kuanzisha biashara ya kununua pikipiki za usafiri kisha kukodisha kwa waendeshaji bodaboda hizo kwa makubaliano ya kila siku akipaki pikipiki hiyo arejeshe Tshs. 10,000 na baada ya...
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wenu kuhusu sheria kwa mashtaka bandia. Nimeshtakiwa polisi na mtu nisiyemjua akidai kwamba alinipa pesa. Nimemuuliza mpelelezi huyo mlalamikaji kama ananifahamu...
Child act, 2009, SECTION 36 reads: Where the court has made an order on a biological father, such biological father shall assume the responsibility to the child in the same manner as may be in...
Habari zenu wakuu ndani ya sakafu hii tukufu ya JF
Jamani mimi naombeni mnisaidie kuhusu kulinda wazo langu la bishara ambalo nategemea kuwauzia benki, na je nitumie sheria au njia gani kulilinda...
iko hivi marehemu babu yangu alikuwa na shamba la ekari 30 na ndipo yalikuwa makazi yake miaka 1940 na amewazika baazi wa wanae hapo.akahama yeye pamoja na mke wake yaani bibi pamoja na mwanaye...
Kwa wenye uzoefu na sheria ya mapato/kodi, je mliki wa , tuseme pikipiki, gari etc anatakiwa kulipa kodi ngapi? Pili je ni haki kulipishwa kodi mala mbili kwa kitu kile kile???? Na kama sio haki...
Jamani mimi ni mwanafunzi mwathrika wa did not secure the loan kwa kigezo ati nilimaliza Diploma miaka 3 iliyopita.
Cha kujiuliza> Mbona wakati tunaomba hicho kipengele hakikuwapo...
Serengeti. Mtu mmoja ambaye ni bubu na kiziwi, mkazi wa Kijiji cha Bisarara Kata ya Sedeco wilayani Serengeti, amelazwa katika Hospitali Teule ya Nyerere akidaiwa kupigwa risasi na askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.