Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kura ni maisha yetu ya kila siku, mtu anashikwa ameiba kura, au anakura feki, mtu huyo apewe adhabu gani??? maana hali ya wizi wa kura sasa imekuwa kubwa, hizi kauli za kulinda kura ndo Upinzani...
Left is 33-year-old international student Lin Jun from Wuhan. Right is 29-year-old Canadian murderer Luka Magnotta.undergraduate student at Montreal's Concordia University has been identified as...
Hili jimbo naona ccm wamebaki peke yao; mgombea mwingine wa Chadema alijitoa baada ya kufanya kampeni kwa wiki chache.
Mgombea ubunge CUF afungwa jela miezi nane
Monday, 18 October 2010 08:30...
bandugu!!baada ya kusota kwa miaka kadhaa kuutafuta uwakili hatimaye mwenyezi mungu amejibu maombi na juhudi zangu!nimefaulu mtihani wangu wa law school!tatizo ni kuwa natakiwa kusigniwa...
Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya makimu kuhukumu kesi kwa matakwa yao na kuacha kuzingatia weledi. Utakuta mshtakiwa anakuwa amefanya kosa ambalo angestahili afungwe labda tuseme miezi 3 au alipwe...
My learned brothers and sisters
greetings.
Kindily,I'm in deep need of your help,on how to include or to mean :
1.risk allownce and
2.health insurance,in my job contract. What are the...
Watanzania wenzangu ambao mmeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,tanzania kufanywa soko na njia kubwa ya usafirishaji madawa ya kulevya,rasilimali za nchi kukabidhiwa wageni kwa bei...
habar wanasheria.nina kesi mahakaman nimedhurumiwa nyumba,wakil wangu aliiomba mahakama kuwa wakil wa upande wa pili(means walionidhuru) aondolewe na jaj alikubal ombi lile,so yule wakil alikata...
Katika hukumu yenu mlikubaliana na sisi kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilikosea kupokea ushahidi wa watoto , ila mlisema hiyo si hoja maadam kuna ushahidi unaounga mkono ushahidi huo ni...
Hodiiii Wanasheria na wadau wengine washeria.
Katika kusoma soma kwangu na kuperuzi ishu za kisheria na mifumo ya kimahakama, nikagundua kuwa kuna mifumo hii miwili, Trial by jury na Bench Trial...
Habari zenu Great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, Agency law...
Dear brothers and sisters for any one who knows the "factors that contributing to the making of conflicting decision"
Please help me to understand them.
Many thanks to you all...!!!
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya...
Alisema thamani ya wanyama wote waliotoroshwa ilikuwa ni Sh170.5 milioni na kwamba twiga hao wanne kila mmoja alikuwa na thamani ya Dola 10,000 za Marekani sawa Sh60 milioni za Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.