Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kamishna Mkuu wa Magereza, John Minja
Wafungwa 22 wa gereza ya Maweni mkoani Tanga waliohukumiwa kunyongwa kutokana na kukutwa na hatia ya makosa ya mauaji, wamegoma kula kwa siku nane sasa...
Mkurugenzi wa upepelezi wa Makosa ya jinai (DCI Robert Manumba) astaafu ...!!
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai...
Wadau, tanzania kama nchi nyingine inakumbana na tatizo la medical malpractice, je wananchi wana uelewa kiasi gani? Tuna historia ya operation ya kichwa badala ya mguu, kwenye circumcision wengine...
Heshima kwenu wakuu!
Nina ndugu yangu ambaye amepewa zabuni na halmashauri ya kutoza ushuru, utekelezaji wake ukawa mgumu kwa kuwa haijapitishwa na waziri mkuu.
Je mkataba alioingia na halmashauri...
Maoni ya katuni
Taifa hili limekuwa likijitumbukiza katika mkanganyiko usiolazima kila wakati hata katika vitu ambavyo kimsingi viko wazi, hali ambayo ama...
Kuna taarifa kuwa hali ya amani na utulivu katika baadhi ya maeneo ya vijiji vya Mvomero ni mbaya. Watu wanashambuliana, wanaumizana na kuuana kinyama. Mifugo pia inauawa. Nyumba zinachomwa moto...
Habari wana JF,
Miaka 2 iliyopita nilinunua eneo la heka 3 maeneo ya pwani.Kuna mtu ametokea na kudai hilo shamba ni lakwake na amenunua miaka 6 iliyopita na hati zote anazo na mie hati zote...
habari za huku wakubwa....kuna kitu ningependa kujua maana nimekuwa nikisikia lakini sijui sheria zake zikoje...KWENYE CASE KAMA HII.ENDAPO bwana x kaukumiwa kwa kesi ya kumuuwa bwana y aka...
Raia watatu wa China wakifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana.
Wachina watatu wanaokabiliwa na shtaka la kukutwa na meno ya tembo vipande 706 yenye thamani ya Sh...
Hivi Boss wako akikutuhumu kwamba umetoa siri za aidha kampuni au vinginevyo wakati si kweli je ni wapi unaweza kumshitaki atoe ushahidi kwa tuhuma hizo?
Kuna rafiki yangu amesingiziwa na Boss...
Nimeangalia kipindi cha Pambanua cha Channel Ten ambapo David Ramadhan alikiongoza akiwa amewakaribisha Dkt Sengodo Mvungi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Alex Mgongolwa wa...
I am doing my Bachelor of Law Research and my Title is "ACCESSIBILITY OF HEALTH SERVICES IN TANZANIA: ENFORCEABILITY OF FREE AND QUALITY MATERNAL HEALTH CAR. A CASE OF MVOMERO DISTRICT MOROGORO...
Wanasheria naomba kuuliza. Katika kila lita ya petroli au diesel tunayonunua, kuna hela inayokatwa na kwenda TANROADS kwa ajili ya matengenezo ya barabara. Sasa je, ikiwa hiyo hela haitumiki...
Nimeajiliwa machi 2013 kama mwalimu (Education Oficer 2) katika halmashauri ya kahama,baada ya kujaza fomu za mkataba na taarifa zangu kwenda utumishi,niliambiwa jina langu lipo kwenye database na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.