Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika...
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo.
Habari za kipolisi ambazo Tanzania Dama limezipata...
Anayejiita Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira kutoka Efatha ameshitakiwa na Dkt Willium Morris kwa kosa la kufanya Zinaa na kuzaa na Mkewe.
Mwingira wa Efatha anatajwa kufanya zinaa na...
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itatoa uamuzi wa kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam au la dhidi ya...
Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti..
Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi...
Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake? Nomba wataalamu mtirirke.
Kutokana na kukamatwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare na taarifa zilizopo kuwa atafikishwa mahakamani hivi karibuni, kumekuwa na mjadala kama ushahidi wa...
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya kuanzisha Taasisi au kikundi binafsi ambacho kitakuwa kikijihusisha na uchunguzi binafsi wa masuala mbalimbali.
Swali la msingi nalotaka kujua: Je Sheria ya Tanzania...
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...
Story iko hivi,
Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama...
Akilalamika Shibuda kutishiwa, Polisi wanaondoka saa ile ile kutafuta wahalifu na kuwahoji.
Akilalamika Zitto na habari ikaandikwa kwenye gazeti, wanafungua jalada na kuwaita watuhumiwa mara moja...
Kwa nyakati tofauti,nimekuwa nikiskia kauli hii "serikali sikivu ya chama cha mapinduzi"
sasa hii kauli ya Naibu waziri wa nishati na madini ndugu Simba chawene,kuwa "mtanzania atakaeona gharama...
"Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali katika kuhakikisha vitendo hivi vinatokomezwa." Angellah Kairuki.
KWA UFUPI
Rai hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Katiba...
Naibu Waziri wa Nishati atakiwa kuwaomba RADHI watanzania baada ya kuwaambia kuwa atakayeshindwa kumudu gharama mpya za umeme basi atumie kibatari
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.