Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi nataka kuwa nakopi matukio,historia,takwimu mbalimbali na makala halafu nazichapa kwa lugha ya kiswahili badala ya kiingereza kama vijarada na kuviuza. Nauliza je kuna makosa ya keshiria...
Kiongozi wa mashtaka ktk mahakama ya kimataifa Binsouda amesema kuwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hana makosa ya kutosha kumtia hatiani na kuwashauri waendesha mashitaka wa mahakama hiyo...
KWA UFUPI
Waiomba Serikali kuingilia kati ili waweze kupata malipo stahiki kulingana na ugumu wa maisha uliopo.
Dar es Saalam. Wananchi wa Mji Mpya Majohe, Guluka Kwalala na Ulongoni katika...
kwa ufupi sina cha kuongeza hapo naomba mwanasheria aniongoze katika hilo, naomba uni-PM. mwaka huu ndo mwaka niliopanga kumuwajibisha mtu... la kuvunda halina ubani
Samahani jamani mnaojua sheria naombeni msaada wa kimawazo. Mi nina kiduka changu,ninajitahidi kulipa TRA kila mwaka. Sasa nashangaa watu wa halmashauri yangu wanadai kuwa natakiwa kulipa ushuru...
Kwa kifupi napenda kutoa maoni na uzoefu wangu juu ya ripoti iliyotolewa kuhusiana na kunyanyaswa na kuteswa kwa wananchi katika opresheni TOKOMEZA iliyofanyawa na majeshi ya ulinzi na usalama...
Kutokana na Tanzania kufuata utaratibu wa maadili (moral) katika utawala wake, inaweza kuwa chanzo cha ugumu
wa utekelezaji wake. Hukumu ya Kifo hutolewa chini ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya...
Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini...
Capital punishment in Macau was abolished in 1976. Under the principle of independence of legal system in Macau Basic Law, Macau continues its repudiation of capital punishment after the handover...
mtazamo wa viongozi wasemao hatuna uwezo wanaangalia mtu binafsi kama chanzo cha mtaji. lakini uwekezaji mkubwa unaweza kufanikiwa kuuza hisa hisa. kwa mfumo wa hisa asilimia ya wa tz wenye...
wakuu naomba msaada wa kisheria.... hivi kwenye kesi ya kukopeshana pesa ni ushahidi gani ambao unatakiwa mahakamani? i mean wa mtu kuona au wa maandishi?
Mimi ni mteja wa kampuni mbili za simu; tigo na vodacom. Cha ajabu mitandao hii imekuwa na tabia ya kuniibia pesa kwa hila. Walianza vodacom wakishirikiana na kampuni ya pushmobile. Kupitia huduma...
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa...
Wanajamvi,tunaombeni msaada wenu!
Kuna jamaa alikuwa na mkopo ktk bank fulani (unsecured salary loan).
Alichukua 40,000,000 Tshs toka May, 2012 na amekuwa akilipa takribani 1,600,000 Tshs kila...
Kama tunavyojua Sheikh Ilunga alikamatwa Tabora na si kama ilivyo kawaida anapokamatwa kiongozi wa kiislam. safari hii imetumika staili ya kizenzi, kakamatwa tabora na kaambiwa anahitajika mwanza...
nilikuwa na mpenzi wangu na baada ya kuachana amekwenda kufungua kesi ya kwamba nimejipatia pesa kwa njia ya udanganyifu kesi ipo mahaka ya mwanzo. na hakuna ushahidi wowote ila hakimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.