Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Omar Mussa Makame leo hii ameachiwa huru mahakama kuu mjini Zanzibar baada ya kusota gerezani kwa miezi kadhaa leo hii ameachiwa huru na kuungana na familia yake na marafiki zake baada ya...
Nimekaa naye kwa muda wa miaka 20 akiishi ktk nyumba ndogo iliyopo pembeni anakaa yeye na ndugu zake kwa mshngao leo asbh kaniibukia anadai kwa muda wote huo aliokaa nami anahitaji alipwe kiinua...
Mtuhumiwa wa mauaji ya padri Mushi, Omar Mussa ameachiwa kwa dhamana na mahkama kuu Vuga.
Mahakama Kuu ya Zanzibar imemuachia kwa dhamana ndugu Omar Musa Makame baada ya wadhamini wawili...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya, imewaachia huru watuhumiwa watatu ambao ni Mwekezaji wa Shamba la Kapunga(Kapunga Rice Project) lililopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya ambao walikuwa wakituhumiwa...
Human rights are neither fixed in scope. Nor are they absolute in application" discus the validity or otherwise the statement with reference to human rights istrument of your choice and the...
Je ni kweli kwamba serekali imewashindwa hawa watu je sio miongoni mwa raia wa tz kwa nini waishi watakavyo wanatuibia stand kuchana mabegi wanatumia silaha ya nyembe kudhuru wengine kwa nini...
11th December 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete alitoa msamaha kwa watu 1,475 waliokuwa wakitumikia vifungo katika magereza mbalimbali nchini ikiwa ni sehemu ya...
Nimekuwa nikipata changamoto juu ya Penal Code, na maboresho yake yote yaliyofanywa na Bunge.
Hii itasaidia kwani maboresho hayo hayapo wazi kwa wengi. Hii inafanya watu kuona kana kwamba sheria...
Taarifa:
Mahakama kuu kitengo cha kazi imefutilia mbali kesi inayoihusu MAT na serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hukumu hii ilitolewa tarehe 5.12.2013 na Mh. Jaji Aboud baada...
Sipendi Kusema mengi,lakini tukubaliane,malezi tunayowalea watoto wetu siku hizi,yanawacost kweli ukubwani.....
Imagine,
Mko wanachuo zaidi ya mia sita,wanaingia wahuni (maana siwezi sema...
Nilitaka kununua nyumba wamiliki ni warithi (nyumba ya urithi) mmoja wa wa warithi wa nyumba hapatikani yuko nje ya nchi lakini ndugu zake watatu walikuwa tayari "tumalize" kila kitu.
Hati...
Leo ni kilele cha siku 16 za kupinga vitendo vya mbalimbali vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto. Katika kipindi chote hicho matukio mbalimbali yametokea katika sehemu kadhaa nchini...
iwapendeze ndg zangu, umekuwepo mkanganyiko kuhusu sheria zilizofanyiwa marekebisho 2010 kama zimeshaanza kutumika? kama kuna mtu ana ushaidi kuwa zimeshaanza kutumika anisaidie juu ya hilo.
ndugu wana jf siku chache zilizopita katika kata ya kawe mtaa wa mzimuni na ukwamani walipita baazi ya watu waliodai wanatoka tanroads hawa jamaa waliweka x nyumba zote zinazotezamana na barabara...
Wana JF, Leo ilikuwa ni kesi ya Kamanda Kilewo na Wenzake katika Mahakama ya Wilaya Igunga.
Kilichojiri Mahakamani
Mwendesha mashtaka wa Serikali PP Mpimbwe amewasilisha nakala ya kukata rufaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.