Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

habarini wanajamii.... naombeni msaada wenu wa kisheria katika jambo hili linalohusu familia yetu! sisi tumezaliwa watoto sita katika familia yetu na kila mmoja na mama yake!baba yetu alikua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kitendo cha kukataa kukatwa kodi ya line (SIM CARD DUTY) kwa ajili ya kuendesha serikali si cha kizalendo kabisa. Kama kweli tu wazalendo na tunapenda maendeleo hatupaswi kulalamikia kodi...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Ndugu wadau naomba mnijuze nawezaje kuipata nakala ya sheria ya uhamiaji ili niipitie na mm..!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
SIKU mbili baada ya serikali kutumia sheria ya magazeti ya mwaka 1976 inayolalamikiwa na wadau wa sekta ya habari kuyafungia magazeti mawili ya kila siku ya Mwananchi na Mtanzania, wadau...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa, imetupilia mbali ombi la Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislam, Sheikh Ponda Issa, la kutaka kufutiwa shitaka moja ya mashitaka yanayomkabili.Wakati Hakimu Mkazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa sheria inasemaje kwa chama cha siasa kumiliki kituo cha televion au kituo cha radio?
0 Reactions
0 Replies
996 Views
.KHS KODI ZA KILA MWEZI KWA KADI ZA SIMU ..TULIWEKE HILI SUALA VIZURI, NA TUSIBURUZWE TU. KWA UFAHAMU WANGU MIMI NI KWAMBA KODI YA MAPATO HUWA INATOZWA PALE AMBAPO KUNA KIPATO ( INCOME) IWE...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kisheria kuhusu haki ya kumfuata mwenza kwa wanandoa ambao wote ni watumishi wa umma na wananyaraka zinazohitajika kama vile cheti cha ndoa. Mosi, nani anahaki ya kumfuata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari wana sheria..naomba msaada wenu juu ya jambo hili. mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya utalii huku mikumi na katika kufanya kazi kuna staff watatu walichukua loan na kuwa quaranteed na...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari wana sheria, Kumekuwa na wimbi kubwa kwa makampuni mengi ya nchini kuajiri wafanyakazi wasio wananchi wa Tz..mara nyingi ni wakenya..hasa katika fani zifuatazo. .Engineering...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisaidie kupata sheria ya usalama barabarani na regulation zake maana hawa jamaa sasa a.k.a wazee wa fursa wamezidi sana kutusumbua inabidi sasa nami niisome kwa umakini ...!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
eti, ikiwa nitapeleka mahakamani shauri la kupinga kodi ya cm nitasimamia hoja gani kisheria?
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Dear all, i appeal to you for your views and opinion on the following scenario:- I have a client who lost his case in the District Court and appealed to the High Court. The High Court...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nawasalimu wanasheria wote wa jukwaa hili. Mimi nataka kuandika wosia wangu. Nauliza, je, wosia unaandikwa kwa msaada wa wakili/mwanasheria au unajiandikia mwenyewe ukiwa chumbani mwako? Na je...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kama unaitaji msaada wa kisheria piga 0713463004
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni swali la uelewa zaidi kwa msanii Lulu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hi.... i salute u in da name of our country.jaman mm nna case ya mirathi yenyeumri wa miaka kumi sasa. ni case ambayo ilikua na mvutano kidogo ila badae mahakama ikatoa ruling yakwamba warithi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwajiriwa wa kampuni moja binafsi iliyopo hapa jijini Mwanza kwa miaka miwili sasa. Niliajiriwa kwa mkataba wa miaka mitatu. Mwaka wa kwanza tuliumaliza bila matatizo lakini ulipoanza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
NaoMba kueleweshwa. Mtoto wangu nilisafiri nae kuja nyumbani Tanzania. Nilimchukulia visa ya miezi mitatu. Visa imekwisha nilitakiwa niondoke bahati mbaya akapata maradhi ya maralia. je naweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, nahitaji viza ya kwenda Thailand kwa ajili ya kikazi. Nimecheki kwenye mtandao, nimeona ubalozi wapo upo Nairobi. Je ni kweli hawana ubalozi hapa bongo. Naelewa watanzania wengi husafiri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom