Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

wanasheria naombeni mnisaidie katika hili,kwa mfano bank inamdai mtu,na kama taratibu zote zimefanyika za kumpa mteja barua zote za kumkumbusha alipe,lakini mpaka siku ya kufilisiwa inafika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kesi ambayo inamuhusu kikongwe na tajiri feki mmoja hapa kilosa. Ina husu nyumba ya kikongwe ambayo huyu bwana anadai kuwa aliuziwa na mtoto wa kikongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Swali: A Question from Mss Christine from BBC News to President Kikwete during the Obama’s press conference at Ikulu in Dar es Salaam yesterday Part A “President Kikwete, Did you discuss with...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Wednesday, July 10, 2013 | 8:22 PM Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama kuu kanda ya Arusha kwa kosa linalomkabili la kutoa maneno ya uchochezi kwa mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Selemani Isanzu Chasama (50), amefikishwa katika Mahakama ya HakimuMkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka ya kumiliki meno ya tembo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naombeni msaada wenu kwenye scenario hii: Kuna LLC ina two Directors, say A and B. A holds 90% and B holds 10% of the shares. Now, B has personal loans and her creditors are...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuna kitabu kimoja nimekinunua kwa wauza magazeti kwa alfu kumi, ni kitabu cha sheria. nilichokikuta ndani ni zaidi ya hela niliyonunulia, nimejiuliza sababu ya kuuza kitabu kile kwa bei ndogo ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajf nakaribisha maoni yenu!! Yangu binafc coni km ni suluhu kwa maana jambo kubwa linaloyumbisha muungano huu ni swala zima la UGAWANAJI WA RASILIMALI YA TAIFA Sasa km serikaki mbili ilishndwa...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
(CNN) -- It was a sarcastic Facebook comment during an argument about a video game. And, according to the father of 19-year-old Justin Carter, it was enough to land his son behind bars for months...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Wadau, Nataka Kujua Specific Power of Attorney kwa kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
KESI YA MENEJA WA MALAWI CARGO ANAYETUHUMIWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO KWA MFANYAKAZI WAKE YAANZA KUUNGURUMA MAHAKAMANI ALIYEKUWA Meneja wa Kampuni ya Malawi Cargo tawi la Mbeya Evason Mwale(49)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilifiwa na baba yangu mwaka 2007 ila kwa bahati mbaya hakukuwa na mtu wa kufuatilia cheti cha kifo, sasa nimekua na ninataka kufuatilia cheti icho. Je nitakipata wapi? Na ni hatua gani napaswa...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Nilifunga ndoa ya kiserikali na mke wangu miaka 7 iliyopita na tulipata watoto2 ingawa baada ya miaka miwili tulitofautiana tukatengana(sio kisheria) bahati mbaya mke wangu alifariki miaka 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni Ushauri kuhusu taratibu za kufungua Mirathi,nimepewa jukumu la kuwa msimamizi wa Mirathi ya Shemeji yangu ambaye alikuwa mwajiriwa na kuna mali alizopata baada ya mauti ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wapendwa hivi ikiwa mtu ame zaliwa nje ya ndoa katika sheria za dini anatambulika kama sio mtoto halali,na mtoto huyohuyo akafanyiwa mpango wa vyeti vya kuzaliwa ikaonekana amezaliwa ndani ya ndoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Gustav Chahe, Mufindi( Kamanda wa matukio)MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi imetupilia mbali mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Hamad...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mnaojua sheria naombeni msaada,nina ndugu yangu alikunywa sumu lengo lake ilikuwa kujiua,tukamuwahisha hospitali lakini kabla ya hapo tuliambiwa hospitali hatatibiwa mpaka ipatikane PF3...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata taabu kulielewa hasa maana ya hili neno MSTAHIKI. Je lina maana gani hasa? Na kwa nini kwa hapa Tz linatumika kwa Meya tu na si kwa kiongozi mwingine...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ndugu zangu naja tena kwa mara nyingine,nikiwa na hoja yangu ileile ya kupewa Mawazo ya kama ni sahihi au la! Kufungua MIRATHI ya mwanamke aliyeolewa na ndoa inatambulika kisheria.Tatizo ni kuwa...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wanajamvi. Kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini napatwa na wasiwasi kama hii inchi bado ni huru kiuhalisia. Naombeni tupitie kwa umakini zile factor muhimu ambazo huzongatiwa ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…