Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wadau
Wizara ya katiba na sheria kwa kizungu wanai itaje?
Kwenye website yao hawajaweka moja kwa moja ila ukiangalia hotuba na documents zilizopo hapo zinaonyesha majina haya
1. Ministry...
Habari ya leo kaka na dada zangu mlio ndani ya jukwaa hili la sheria, mimi ninahitaji ufafanuzi na ushauri iwezekanavyo, juu na tofauti ya majina katika vyeti viwili ambavyo vinakuwa ni vya mtu...
Nimeipitia katiba mpya na kuona ni nzuri lakini kwanini suala la mapambano dhidi ya rushwa lisiingizwe katika Muungano
Naomba ufafanuzi nipa mwanga na mimi
Mi ni mwajiriwa wa serikali nilijiendeleza fani ambayo sikuruhusiwa na mwajiri wangu .nimeomba nifanyiwe recategolization mkurugezi ameniandikia barua nijieleze kwanini nisichukuliwe hatua za...
Ni maneno mawili yanayochanganya sana,ikitokea mtu anasema ukweli anaambiwa ni mchochezi/anakashifu.Mfano Gazeti la Mwanahalisi.mpaka likafungiwa kwa kile kinachodaiwa uchochezi.Kwa hiyo serikali...
Wadau, Naomba kuwasilisha taarifa za mjini Arusha, inadaiwa hivi karibuni RC Mullongo alidaiwa kufumaniwa akiwa na mke wa Balozi. Mpaka sasa taarifa hizo hazijathibitishwa kama ni mke wa balozi wa...
Kuna sheria ipi ya madhara mabayo inaweza kutumika kumsaidia mtu kama lwakatare na kesi inayomkabili kama akishinda ? na anaweza dai kama kiasi gani cha fidia kutokana na madhara hasa ya kiafya na...
Tafadhali mwenye uzoefu na public writers hapa Tanzania anisaidie kufahamu kazi wanazofanya na kama zinahusu uandaaji wa nyaraka za kisheria/huduma za ushauri wa kisheria nk.
Wiki iliyopita, niliwasili katika uwanja wetu wa kimataifa JK Nyerere, katika moja ya safari zangu nje ya nchi., Kwa bahati mbaya ticket yangu ilikuwa na matatizo nikaambiwa nikae katika madawati...
Dar es Salaam. Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki Kituo cha Televisheni cha Star, imeingia katika mgogoro na Kampuni ya Vingamuzi ya Startimes na kufikia uamuzi wa kuitoa kurusha matangazo...
Kama watanzania tutaikubali rasimu ya katiba kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muuungano ya mwaka 2013 na kwa kuwa inapendekeza mfumo wa serikali tatu, basi ni vizuri badala ya serikali ya bara kuitwa...
UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE
Lwakatare (kulia) na mtuhumiwa mwenzake Ludovick wakiwa mahakamani leo.
Baadhi ya wanachadema waliofika...
Nimefurahi kupata taarifa ya wazee wa tatu wa kikenya kukubaliwa kuishtaki Serikali ya Uingereza kutokana na
mateso waliyoyapata wakati wa Ukoloni. Inavyoelekea wazee hawa wanaweza kushinda na...
baada ya kuhitimu chuo kikuu. mwajiri hamtaki mwajiriwa. anamwandalia mafao yake. kwa tendo hilo haki za mwajiriwa ni zipi. baada ya kufanya kazi lwa miaka kumi bila onyo.
Ndugu zangu wanasheria naombeni msaada.
Wote mnajua kwamba kesi nyingi za jinai hupelekwa mahakamani na polisi na hivyo wakati kesi inaendeshwa wewe mwenye kesi unakuwa kama shahidi wa jamhuri...
Wana bodi
Takribani miezi minne iliyopita nilibaini kwamba mawasiliano yangu na watu wengine kupitia simu ya mkononi yalikuwa yanafuatiliwa i.e kuna mtu ambaye naamini ni mfanyakazi wa kampuni...
Salaaamm..!
...naomba kufahamishwa kwa mujibu wa sheria za tanzania,katiba inasema nini endapo rais atatoa kauli au matamshi yoyote yatakayothibitika si ya kweli..??? kwa mfano kauli ya uwongo au...
Asema yapo mengine wanayakubali
Kamati Kuu ya CCM kukaa Jumatatu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakiungi mkono rasimu ya katiba mpya...
Helo wanajamvi,
Jamani naomba mwenye kufahamu vizuri majukumu ya hawa watu katika nchi hii. Hivi viongozi wabovu katika taasisi za umma wanaweza kushitakiwa kwa tume hizi na wahachukuliwa hatua...