Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Serikali kupitia Wizara ya Kazi na ajira iko katika mchakato wa kuanzisha sheria ya mkataba wa wafanyakazi wa majumbani.
Mkataba huo utasimamia na kuteteahaki, maslahi, afya na usalama, mazingira...
Hivi dini zinaweza badili uelewa wa watu kiasi hiki?Hadi watu waelewe tofauti na kuelezea vitu vilevile tofauti kiasi hiki?Walioblackmail uhuru wanataka dai kuwa walileta uhuru na wanataka...
Mawakili wa lwakatare wataweka pingamizi la awali( preliminary objection) kutokana na ombi lililowasilishwa na DPP katika mahakama ya rufani kupitia upya rulling ya high court
sababu ni maombi...
KWA UFUPI
Mahakama hiyo ilitoa amri hiyo katika hukumu yake iliyotolewa na Jaji Lawrence Kaduri, katika rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliyekuwa akipinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu...
Posted by: In Tanzania
27 May 2013
Advocate, magistrate, Managing Editor, State Attorney, trial attorney
The Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam ordered the arrest of former...
LWAKATARE AKWAMA TENA KUPATA DHAMANA, KESI YA JAYDEE YARUSHWA MPAKA JUNE 13.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare na mwenziye Ludovick Joseph wamekwama tena leo...
Wanasheria na TRA experts naombeni msaada wenu katika utata huu.
Kipato chochote lazima kikatwe kodi kulingana na sheria za nchi.
Naomba kufahamu endapo mtu ameachishwa kazi kisha akalipwa...
Nilikua employed kwenye company ya private as salesman for a year,mwanzon mwa mwaka huu dereva wangu akafanya kosa lilipelekea kufukuzwa kazi mm na yeye ila kwenye barua za kazi kosa likasemekana...
Habari ya leo wanaJF
Naomba msaada katika gharama za kupata hati miliki ya ardhi (Tittle Deed). Maana mi nimeendaa kwenye ofisi za wilaya hapa
karatu (Arusha) nimetajiwa kama Tsh 1,400,000/=...
KIJANA Ramadhan Suleiman Mussa Rama mla watu na mama yake Khadija Ally, leo wameachiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kubainika kuwa mshitakiwa namba moja katika kesi...
Your are here » Home » Coast
Man charged with the murder of wife who is alive and wellUpdated Thursday, May 23rd 2013 at 21:32 GMT +3 By WILLIS OKETCH
Mombasa, Kenya: A port clerk was...
Ndugu wanabodi,
Kwa uelewa wangu, sheria ya Uhujumu Uchumi nchini inamnyima dhamana mtu "yeyote" aliyeshitakiwa mahakamani kwa kosa hilo. Lakini jambo la ajabu nilaloendelea kulishuhudia ni...
Ndugu wanajamii forum, ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa na kuomba msaada wa kisheria.
Huyu mdogo wangu amepata kua mfanyakazi kwenye NGO kwa muda Fulani hadi pale mkataba wake ulipokwisha...
mimi ni mwajiriwa wa halmashauri ya ulanga, nimeanza kazi zaidi ya miaka 5 ilopita, sijapandishwa daraja kwa uzembe wa afisa utumishi wangu, je naweza kumshtaki na kumdai fidia kwa kunifanyia...
Juzi nilihadithiwa kisa hiki,kuna mwalim ambae aliwahi kusimamishwa kazi kutokana na kumpa uja jauzito Mwanafunzi,na baadae akarejeshwa kazi kwa kuweka katika ofisi ya ELIMU WILAYA YA MAGHARIBI...
Hivi kwa mujibu wa katiba,kanuni na sheria za nchi ni sahihi kwa serikali kutumia jeshi la wananchi kudhibiti fujo au ghasia za wananchi?
Kama sheria na taratibu za nchi kweli...
Wakati bunge likiendelea kujadili bajeti ya Wizara ya habari, vijana, jana jioni wabunge wawili Ester Bulaya na Vicky Kamata walichangia mzozo kati ya Lady JD na Ruge.
Wote wametoa maoni...
wana jf naomba kufahamu kama mtu mwenye umri uliozidi miaka 18 na ni mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi mali za marehemu babake ikiwa babake hakuwahi kumthibitisha kuwa ni mtoto wake na...
Wana Jf Napenda kuleta kwenu wazo langu la muda mrefu, nimekua nalo kwa muda sasa nalo ni je kwa hivi sasa ninaweza kuanza kuandaa Mashitaka dhidi ya Chama kinachoondoka madarakani (ccm) watendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.