Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari zenu wana jamvi,leo nimewiwa kuleta hii maada ili tuweze kupata ufafanuzi zaidi kuhusu mabadiliko ya katiba katika nchi za EAST AFRICA,tunataka kujua ni katiba ipi inayoongoza kwa kufuata...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ananiambia kazi ya serikali ya ujenzi haina rention je ni sawa?
0 Reactions
0 Replies
934 Views
siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho. Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari. Natafuta msaada wa kisheria kwa masuala ya ajira. kama kuna mwanasheria anaweza akanirepresent, tafadhali naomba tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi mdau mwenzangu umewahi kujiuliza swali hili? Katika mihimili mitatu ya Dola,mahakama ndio mhimili pekee unaotenda haki kwa wapinzani.Mahakama zetu zingekuwa zinafanya kazi kama Bunge kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VIDEO YA WAZEE WATATU WAKICHOMWA MOTO HADHARANI KWA MADAI KWAMBA NI WACHAWI - MPEKUZI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The 1996 homicide investigation of six-year-old JonBenet Ramsey provides valuable lessons in proper crime-scene investigation procedures. From this case, we learn how important it is to secure a...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Kumekucha wanajamvi? maana kulala uraiani na kuamka jela limekuwa jambo la kawaida sana hapa kwetu ndo maana nauliza kama kumekucha na makucha yetu salama? Leo nina swali moja kuu la msingi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
  • Closed
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49...
4 Reactions
190 Replies
15K Views
Nimekuwa nikiangalia watu wengi wakifunguliwa mashitaka ya jinai na baadae Mahakama kuwasafisha, Mfano hai kabisa ni mashitaka ya Lwakatare na Zombe. Hivi hairuhusiwi Kumshitaki DPP kwa kufungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF leo nimejaribu kuangalia taarifa ya habari kupitia TBC lengo lilikuwa ni kuona Je watazingumzia kesi ya lwakatare hasa baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi. Kweli sijaamini kilichotokea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani. Swali la msingi kama wafuasi...
0 Reactions
188 Replies
14K Views
Leo nilikuwa natokea Sengerema, nikavukia Kigongo Fery. Nikiwa kwenye kivuko kuna suala la kipuuzi limetokea mahali pale kuna gari ambalo ni mali ya SABEDI lenye namba za usajili UAH 868 NA TELE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salamu, je kuna sheria yoyote ya kuchinja wanyama au inayoelezea namna ya kuchinja Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman hebu nijuzeni kuhusu bum linatoka lini? jana tulitangaziwa kuwa leo mchana tungewekewa but till now nothing nani mwenye update ya uhakika? wengine tuna cku tatu tunashindia chai tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani ni haki ukiwa ulishasign mkataba na chuo tokea mwaka wa kwanza inaruhusiwa kwa cho kupandisha ada kwa kila muhula??? Naombeni mnaofahamu sheria na kanuni za mkataba mnielezee.
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Tunaomba mwenye hukumu ya mahakama ya rufani ya ubunge wa sumbawanga mjini atuwekee jamvini tupate maarifa.
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Kuna malalamiko mengi kuhusu RAS electronics ya mabibo hostel ya ama kudhulumu, au kubadilisha hardware, au kum-provoke mteja ili afanye kosa la jinai wakati anapodai mali yake. Na mara mteja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom