Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
je hii nchi kila mtu ana mamlaka ya kumfunga mtu..eti kwa sababu yeye ni mtu fulani..akikosolewa kidogo kutokana na pumba zake..anakutisha..ooh ntakutia ndani...hakuko na umuhimu wa kuwa na sheria...
JAMANI, nimesikia kwenye magazeti kuwa Dr. Hosea ametoa pendekezo kuwa, PCCB waundiwe mahakama yao binafsi, itakayo dili na kushitaki wala rushwa tu. niliona kama hilo ni pendekezo zuri, lakini...
Wakuu msaada tafadhali. Hivi hii Road Traffic Act ya 1973 imekuwaamended mara ngapi? Na Je kuna kanuni zozote zinazotakiwa kusomwa pamoja na hii act? (angalizo: mie siyo mwanasheria, ni dereva...
Wakuu natangukiza heshima......Nina kesi hizi baraza za land disputes since 2006!! Plot yangu ina title deed ya 1994...jirani
Yangu baada ya kuCna neighborhood yetu kuna
Major development...
Nauliza naomba kufahamishwa:
Hivi jeshi letu la polisi huwa halina utaratibu/kanuni rasmi ya namna kumkamata (Arrest) mtu au mtuhumiwa, au hata kumwita afike kituoni.
Jee huu mtindo wanatumia...
mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka sita ameangukiwa na geti la shule anayosoma na kuvunjika mguu,geti la shule linaonekana limeoza wakati wanatoka nje kurudi nyumbani ile kufungua geti...
Habari wadau?
Hivi, kuna ulazima kisheria kwa mfanyakazi kujiunga na mifuko ya kijamii(Social Security Funds).
Na je, Mwajiri akishindwa kukulipa hayo makato (kwa upande wa NSSF), adhabu yake ni...
Kamanda wa polisi mkoani wa Kinondoni (RPC), Charles Kenyela.
Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, limelalamikiwa kwa vitendo vya baadhi ya askari wake kuvamia vyumba vinavyodaiwa...
mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka...
Janja ya kushinda kesi kwa wakili huyu ambaye pia huiwakilisha ccm kwa baadhi ya kesi ni uandaaji wa mashtaka.huwa anahakikisha mashtka yanatengenezwa kwa namna ambayo itamsaidia ashinde...
Habari za siku nyingi,
nilikuwa naomba msaada wa watalaamu kuhusu maana yake "FUJO", katika sheria ya Tanzania.
Je mtu moja, anaweza kuletea fujo, bila kumshambulia kimwili, bila kumshika wala...
Wana JF embu nisaidien katika hili, inafahamika Tz ni kosa kutoa mimba kisheria, ila kama m2 akiwa na matatizo kiafya yanayoweza ku7bshwa na ujauzto alioupata na akataka kutoa ni sheria zp...
Mbunge Godbless Lema akionyesha ishara ya vidole inayotumika na chama chake wakati akitoka mahakamani.
Wandishi wa habari wakizungumza na Wakili Tundu Lissu aliyekuwa akimtetea Lema.
Lema...
Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) is demanding legal action be taken against a High Court Judge who acquitted businessman Kamlesh Pattni of Goldenberg criminal charges...
Wataalam wa sheria na wadau kwa ujumla,
Heshima kwenu nyote,
Kufuatia tukio la kulipuka kwa mabomu na kusababisha vifo huko Boston marekani, kuna swali linenijia.
Vijana wanaosemekana...
LULU AFANYA BONGE LA PATIPosted by GLOBAL on April 19, 2013 at 3:35pm 1 Comment 0 Likes
Stori: Imelda Mtema
Elizabeth Michael Kimemeta Lulu si mtoto tena, ametimiza rasmi umri wa miaka 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.