Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wana sheria hebu niambieni hivi mtu akimwambukiza mtu ukimwi kwa makusudi sheria inasemaje?
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Sheria inasemaje kuhusu mtu aliye ambukizwa HIV kwa makusudi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye mjadala huo chini, ameandika maneno hayo kwenye quate akiwa na maana SIKU za Mchungaji zinahesabika. Maisha yake unaweza kuhesabu kwa wazi kabisa kuwa zimebaki siku ngapi. Ninaomba...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu na wajua sheria naomba mnisaidie nauliza. Nina mpangaji na tuna mkataba utakaoisha 2014.June. Hajalipa kodi ya June 2013-June 2014.Kodi yake inaisha May.2013. Nimeamua kumpa notice ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi! Hii ni kuhusu kesi ya Casey Anthony, mama wa Kimarekani aliyefanya unyama mkubwa kwa kumuua mwanae wa kuzaa - Caylee Anthony (2yrs) mnamo mwaka 2008! Maiti ya mtoto huyu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
These are from a book called Disorder in the American Courts and are things people actually said in court, word for word, taken down and published by court reporters that had the torment of...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Kwanini mwajiriwa akiwa katika probation huweza kunyanyaswa na kutishiwa hali ya kuwa swala la probesheni ni acceptance ya mwajiri? Katika sheria za mikataba kama zinzvyo fanana fanana na sheria...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
LIWALE: WATOTO WADOGO WABAMBIKIZIWA KESI YA "UNYANG'ANYI" WA KUTUMIA SILAHA. Watoto SAID HASSAN BADI, 14 (Kushoto kwangu) na SALAMA HASHIM MBWANA, 14 (Kulia kwangu) - (wote wanafunzi wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kifungu kipi cha sheria za nchi hii kinamshtaki mtu aliyeshindwa kutunza mnyama afugwaye?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu zangu jana tulipata habari kutoka Arusha ya kwamba polisi walikuwa wakimshikilia wakili Albert Msando baada ya kutokea vurugu kwenye chuo cha uhasibu Arusha (Arusha Institute of Accountancy)...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Chief Justice Willy Mutunga has denied claims that he was bribed during petitions that challenged the election of President Uhuru Kenyatta. In a post on his Facebook page, the CJ said he has been...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
PALU Invitation to Membership Recruitment Activity and Seminar on Recent Developments in International Law in Africa – Friday 3rd May 2013 Pan African Lawyers Union (PALU) cordially invites you to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanasheria mnisaidieni kwa hili nani anapaswa kudistribute ardhi ya kijiji kwa wananchi ama kwa kuwauzia ama vinginevyo (a, VEO, b, WEO, c, mwanasheria yeyote, d, kamati ya kijiji ya ardhi...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Kuna mfumo mpya umeanzishwa na vyombo vya usalama na sheria ( mahakama na polisi) nadhani unaweza kuja shika mizizi kama usipopigiwa kelele mapema. kumezuka tabia ya kukamata viongozi hasa wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu.... naomba kujuzwa adhabu ya makosa haya.. kwa mfano mtu ambaye sio raia wa Tanzania 1. kuishi nchini bila kibali 2. kukosa viza 3.kufanya kazi bila kibali na endapo mtu anapatikana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongera Wa Zanzibari kwa hatua muhimu kwa ustawi na kulinda maadili sasa umefika wakati na sisi huku bara kuiga hatua hiyo kwani itapunguza sana ukimwi na kulinda heshima na maadili yetu...
1 Reactions
76 Replies
8K Views
NIOMBA MSAADA KUHUSU HILI TAZIZO ILA SIJAPATA UFUMBUZI. Ndugu wana sheria naomba ufafanuzi juu ya hili. Kuna kijana kampa binti mimba na walipogundulika wakatoroka. Jambo lakushangaza polisi...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kiwandani sasa ukatokea wizi fulani yeye na wenzake walipelekwa mahakamani na kusimamishwa kazi hapo hapo lkn waliendelea kulipwa mishahara. Sasa kesi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom