Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
If a person is judged not guilty, it does not mean that the person is proved innocent; it only means that there was not enough evidence to reach the guilty verdict.
Je ushahidi unatafutwa na nani...
Victor Ambrose ni kijana aliyekamatwa na jeshi la polisi na kushtakiwa kulipua kanisa huko Arusha. Kijana huyu ambaye anafanya biashara ya kuwabeba watu na pikipiki, maarufu kama bodaboda...
Kuna hali ya sintofahamu juu ya WILFRED LWAKATARE kufutiwa mashtaka ya UGAIDI huku wengi wakiamini kuwa maamuzi hayo ya mahakama yametokana na ukweli kwamba suala hilo lilitawala mijadala ya...
MAJINA YA WATUHUMIWA WALIOACHIWA HURU PAMOJA NA RIPOTI YA POLISI KUHUSU BOMU LA ARUSHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA...
Hivi ina maana gani kusema kuwa Victor Ambrose anafikishwa mahakamani kwa shitaka la kurusha bomu Kanisani Olasite na kuua watu watatu, lakini wakati huo huo unaendelea kusema kuna donge la...
Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni...
Jamani kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari kwamba Victor Ambrose mtuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa kule arusha ambaye amesababisha vifo na majeruhi kibao jana alifikishwa mahakamani na...
Habari wana JF, ninaomba nisaidiwe kujua Taratibu za matumizi ya majina ya vitu au product hapa Tanzania kutoka nje ya nchi.
Kwa mfano kama kuna kinywaji Huko Uganda au Kenya tuseme kinaitwa UDU...
Nina issue ambayo nahitaji msaada wa kisheria kwenye maswala ya Ustawi wa jamii.kama ni mtaalamu basi ni PM ukiwa na CV yako .veting itafanyika baada ya hapo appointment itapangwa, Nnacho hitaji...
Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, parokia ya Olasiti, Jimbo Kuu la Arusha, Victor Ambrose Calist amefikishwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi kwenye...
Kwa kuwatungia uongo . Na kama ana ushahidi wa aliyoyaongea basi akatoe vielelezo mahakamani. Na akishindwa wamdai fidia nzito kwa kuwachafulia radio yao ili iwe fundisho kwake na kwa wengineo...
*Asema mkakati wa kukamatwa kwake uliandaliwa
Sheikh Ponda Issa Ponda
SIKU moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dares Salaam, kumwachia na kumweka chini ya uangalizi wa mwaka...
advocate huyu ambaye anashikiliwa katika mahabusu ya gereza la kisongo aliyasema hayo leo katika muendelezo wa kesi inayomkabili.
Amedai mawakili wa serikali humfuata mara kwa mara na kutaka...
Nimekuwa nafuatilia kisanga cha Polisi wetu Morogoro kubambika mtu kesi ya kichwa na baada ya game lao kushtukiwa wao sasa wanapambana na mkono wa sheria.Naomba nijulishwe mashtaka...
Whoever loves 4 Allahs sake..hates 4 Allahs sake..gives Allahs sake..n withholds 4 Allahs sake has a perfect faith(Abu Dawud)..,,Muslims thru ur in hartimes in Kuffaris hands but dont fear...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.