Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu jana na leo gari la matangazo limekuwa likipita mitaa mbalimbali ya jiji la Mwanza na vitongoji vyake likitangaza tangazo la serikali ya CCM la kuwaamuru wamachinga wote, mama ntilie na wote...
Hivi ukimtole mwanamke mahali na umezaa nae baada ya hapo mkakosana na kutenge je anahaki ya kuomba talaka? na kuhusu mtoto ninahaki ya kumchukua baada ya muda gani mtoto mwenye now ana mwaka...
na Walter Mguluchuma, Mpanda
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mpanda imemuhukumu Kassim Lugendo (41) mkazi wa Kijiji cha Kambanga kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya...
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Kisutu
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza sasa limeamua kutumia polisi wa kimataifa (Interpol) kuwasaka viongozi wawili wa dini wanaodaiwa kutorokea nchi za nje kukwepa kukamatwa kwa tuhuma za kurekodi kanda...
Kutokana na sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, ndoa inatafsiriwa kuwa ni muungano wa hiari baina ya mwanaume na mwanamke, muungano unaokusudiwa kudumu kwa muda wote wa maisha yao.
Kutokana na tafsiri...
habari za jf?
Nia na madhumuni yangu ni kutaka kujua je kama kiongozi wa kanisa katoliki duniani anaweza kushitakiwa au kukamatwa?
Kwa maana kama sikosei ilikuwa mwaka 2010 kanisa lilikuwa na...
KWA UFUPI
Wakaniangalia kana kwamba nimetoka kwenye sayari nyingine.
Hii ni Tanzania Bwana. We vipi?
Kwani hii ndiyo maana ya Utanzania?
Sasa. Wale wasomi wenzio wanakwapua mabilioni, wewe...
HI.
naomba nisaidiwe katika hili,kuna haki gani anayotakiwa kupata mfanyakazi ambae amesitishiwa ajira yake eti kwasababu elimu aliyokuwa nayo haiendani na nafasi ya kazi aliyonayo kwa wakati...
Mtoto wa Kaka yangu ilikua apelekwe india kwa ajili ya macho i mean alikua na uvimbe watu wa insurance yake wakachelewa kumpatia go ahead wakawa wanamzungusha miezi mingi tu mpaka amekua kipofu...
Mimi nidereva wa kampuni nilioajiriwa..
Hufanyishwa Kazi nyingi tofauti na Kazi yangu ya udereva na kwamalipo Yale Yale...!!
Swali langu ni Jeh Sheria inambana vipi muekezaji kama Uyu...!!!?
Ndg wan JF, kujua kesi ya Rwakatale inaanza kusikilizwa lini? Mbona sijasikia hata humu jukwaani ni lini inaanza kusikilizwa? naomba kufahamishwa au ndo ushahidi bado?
Estimated value of the deceased estate determines the appropriate court to file an application for grant of probate or letters of administration. Critically discuss basing on the current updates...
Habari wanajamvi,
Ningependa kujua ni lini ile sheria ya kua kila kampuni ya kibiashara ambayo inataka kuwekeza katika sekta yoyote ni lazima ipewe miaka kadhaa ili baadae ndio ianze kulipa kodi...
Kesi tajwa huenda ikachukua muda zaidi, ikiwa haki itatendeka, kwa maana ya hadi wahusika wote washukiwa katika kesi hii watakapo hojiwa...
Kwa jinsi hali ilivyo sasa wanaopaswa kuunganishwa na...
Helloh peoples...........................! may u tell me the source of labour law in Tanzania?
Function and composition of the labour court in Tanzania
identify institution that implement...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.