Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hivi sheria inamruhusu askari polisi kufanya kazi ya ulinzi kwa wachi?Maana hata kazi yao wameitelekeza kabisa! Wanapewa mpaka job card ambayo husainiwa kila anapotoka.
post hii naileta hapa kwenye jukwaa la sheria nikiwa na matumaini kwa wanajamvi pamoja na mengine kunisaidia masuala ya kisheria imekaaje,.mimi ni mtumishi wa MAMLAKA YA RELI YA TANZANIA NA ZAMBIA...
Habari za sikukuu wakuu!
Ninaomba ushauri wenu kwenye hili ninalosimulia hapa chini.
Ni kwamba hapa ninapoishi nina jirani yangu ambaye ana plots 2, moja niko opposite nayo na nyingine ni ya nne...
Rufiji: Watu wawili wanaodaiwa kuwa raia wenye asili ya Somalia, wamepewa ekari 100 za ardhi na Halmashauri ya Kijiji cha Chumbi C, Kata ya Chumbi, wilayani hapa bila kushirikisha wananchi wala...
Wadau naomba ushauri.
Nyumba yangu ina ukuta na geti. Mtu hawezi kuingia bila kukaribishwa, labda awe mwizi. Nataka kutega umeme madirishani na mlangoni ili kama mwizi karuka ukuta akigusa tu...
Kuna kijana amefanya ka kwa wachina miezi miwili,kabla ya kupewa mkataba,akapata ajali akiwa kwenye gari la kazi akaumia nyonga,je afanye nini ili apate haki yake?
Habar wakuu.nimesababisha ajar nimegonga m2.usafiri wangu uko polisi mgonjwa amelazwa.nifanyenje kama atakufa,ndugu zake wanasema nichangie gharama za hospital nanimefanya hvyo,sasa kisheria...
Raia wa China,Xu Wenze (29) amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Mpanda akikabiliwa na tuhuma za kukamatwa na meno matatu ya fisi.Mwendesha mashitaka wa hifadhi ya wanyamapori ya...
hili swala ambaye amelishikia bango zaidi ni mbunge wa temeke mh' abbas mtemvu na mkuu wa wilaya wa temeke Sophia Mjema. wanaendelea kuwalagai wananchi wakati wanajua kesi ipo mahakamani.kwa...
Kardinal Pengo ana haki zote kuhoji ni wapi upepelezi wa mauaji na kupigwa risasi kwa mapadri kulikofikia. Kardinal Pengo akiwa kiongozi mkuu wa mapadri na waumi wake ana haki za kuhakikisha...
Amani na mshikamano ukae nanyi wote wakuu wa JF!
ni mara ya kwanza kuanzisha mada katika jukwaa hili.
Mimi sio mwanasheria na ngependa sana kujua kwanini wahalifu mbalimbali wanapokamatwa na...
1.inapotokea umeenda polisi kupeleka malalamiko yako....pale charge room huwa kuna kitabu ambapo charge room officer huandika maelezo.nataka kujua
a.kile kitabu kinaitwaje?
b.ndani ya kile kitabu...
Waheshimiwa wana JF Nimeleta taarifa hii ambayo chanzo chake ni WAPO FM inayosema kwamba hapo jana mnamo majira ya saa kumi jioni maeneo ya Kinondoni Mkwajuni Bondeni kulitokea mauaji. Tukio hilo...
JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA MHANDISI MKUU (MAIN CONTRACTOR) WA JENGO LILILOPOROMOKA NA MHANDISI WA WILAYA YA ILALA AMBAYE NDIE ALIYETOA KIBALI CHA KUJENGWA JENGO HILO LAKINI PIA MKUU WA MKOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.