Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu hata kama Lwakatare atafunguliwa kesi uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, soma hapa chini.
A Youtube picture/video by itself is not enough to win your case. If you cannot prove...
Nimekuwa nikisikia kila mara madiwani wa halmashauri fulani wamemwazimia mtumishi fulani tena maeneo mengine madiwani wamemkataa mtumishi fulani labda mkurugenzi au yeyote. Najiuliza kama hivyo...
Peter Serukamba.
KWA UFUPI
Kutokana na kazi kushindwa kufanyika kwa wakati hasa kutokana na zuio la wananchi mahakamani.
Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wanakusudia...
Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?
Habari wana jamvi.
Naomba kupata mchanganuo wa jinsi sheria inavyo weza kumlinda mwanachi wa kawaida kuhusu hili.
Makampuni ya simu yamekuwa yakifanya wizi ambao unaonekana wazi ama usumbufu...
Ninaitaji msaada wa kisheria tafadhali je endapo umeishi na mwanaume kwa mda wa miezi 8 pasipo kufunga ndoa na katika kuishi kwenu kuwepo na haadi za kufunga ndoa hapo baadae lakini ikatoea...
Kukaa rumande kwa zaidi ya saa 24 bila kufunguliwa mashitaka.
Je huu si uteswaji wa wazi. Au ndio yuko kizuizini?
Tumpokee lini mtaani kama shujaa kwa mkutano
Hivi katika sheria za kazi kunakipengele kinasema uumpe mfanyakazi mkataba wa mwezi mmoja mmoja kila akimaliza tu unampa mwingine wa mwezi tena nizaidi ya mitano sasa utaratibu ni huo huo...
Kuna binti nilikuwa ninamahusiano naye ya kimapenzi, Binti anaishi mkoa wa Dodoma mi ninaishi Pwani, huyu binti kunakipindi aliniambia anaujauzito wangu, hyo ilikuwa ni baada ya mimi kwenda Dodoma...
Naanza kupata picha juu ya kesi ya Lwakatare. Hii si kesi ya kweli kwani kama kweli serikali yetu ingeamua kupambana na magaidi ingeanzia mbali:
1. Waliomtesa Dr. Ulimboka ni akina nani? Je...
Mtu pekee ambae bila shaka umma una hamu ya kusikia kauli yake kuhusu ukweli wa ile video ambayo baadhi wamedai ni fake na wengine kudai ni ya kweli ni Lwakatare mwenyewe.
Maelezo ya nini...
<strong>Jamani wadau wa sheria naombeni msaada!<br>Mi nimekua mfanyakazi wa kuajiliwa shirika fulani hapa TANZANIA yapata miaka 8 lakini nimeamua kuacha kazi mwezi ulioisha ili niendelee na maisha...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Yehova la mjini Songea mkoani Ruvuma amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na kosa la wizi wa vifaa vya umeme.Hukumu hiyo ilitolewa dhidi ya mchungaji...
Wapendwa tuliambiwa ati Kamanda Lwakatare ni Gaidi ndani ya nchi ambayo walisema ni kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa na mataifa ya nje hivi hii imekaaje Gaidi from peacefull State?Na kumbe...
Kesi hii ya Kusisimua ilitokea katika mahakama ya kijeshi Nchini na kuibua hisia kali kwa waliokuwa wanaujua ukweli.
Jeshi (Kikosi cha Jeshi-KJ, ambacho ni kikosi cha huduma, na Kikosi cha...
Katika kesi hii ya Lwakatare ninachokiona ni matumizi mabaya ya sheria na wale waliombakizia kesi Lwakatare wanastarehe na kufurahi kuona Lwakatare anaenda kuishi gerezanialidai Profesa...
Mwanza. Watu 462 kati ya 1,205 waliokuwa wakisailiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Baraza la Famasi, wamebainika kuwa na vyeti bandia.
Kubainika huko kulijitokeza wakati wakifanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.