Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
"District court na Resident court.. ni mahakama zenye mamalaka sawa,na hakimu wanaohusika katika mahakama hizi wana elimu sawa yaani wote wana degee ya sheria...tofauti inakuja kwenye kusikiliza...
Tunaofanya kazi mahakamani, tunachoshwa na usanii huu. Huyu kijana katolewa, kamwacha Mwenzake kwa kipi hasa na huko alikopelekwa ni wapi, baadaye sisi tuanze kualaumiana. Binafsi naona kama DPP...
Kumekuwepo na taarifa zinazojirudia rudia zihusuzo mauaji ya vikongwe hususan wanawake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Mara nyingi mauaji haya huhusishwa na imani za kishirikina na kwa bahati...
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim.
Mahakama Kuu ya Zanzibar imemtaka Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim, kuwasilisha kwa maandishi sababu za...
Naibu Waziri,Mahadhi Juma Maalim.
Yapo baadhi ya mambo yanayotokea Tanzania ambayo hakika hayawezi kutokea mahali pengine duniani. Ebu fikiria kisanga hiki. Pamoja na kuthibitishwa wizi wa zaidi...
KENYA PRESIDENTIAL PETITION UPDATES IN SUMMARY FORM The updates of hearing of presidential election petition in Kenya are as summarised hereunder. First but not foremost, an application...
Kuna maeneo ni mashamba ambayo yanalimwa na wazazi wetu. Halmashauri wanataka kuuza viwanja eneo hilo na wanasema hatupati chochote, je sheria ya ardhi inasemaje? Hatuna haki ya kumiliki viwanja...
habari wana jf nimemuweke mpangaji mwenzangu dhamana kwa kosa la shambulio je kwa kosa kama hili kama akikimbia nini kitatokea kwangu na solution nini je mlalamikaji asipotokea mahakamani itakuaje
habari wanaJF..
Naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili...
story ina mlolongo mrefu sana, ila naomba niandike kwa kifupi sana ili muweze kunielewa nahitaji nini hasa..
Baba alipofariki miaka...
Do we have a data privacy Act or any other laws dealing with Data Protection in Tanzania?
If "YES" please i would love to get a copy and if "NO" then how do we deal with Data Privacy issue in...
Mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo
chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu...
Wana JF, kesi inayomkabili Lwakatare haina tofauti na Ludovick. Hukumu atakayopewa Lwakatare lazima pia iwe sawa na Ludovick.
Kama kweli Ludovick katumiwa na mzee wa mipango aitwae Magulu...
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
Tanga. Hatimaye, wahamiaji haramu 47 wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa wanasafirishwa ndani ya makontena, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya...
KWA UFUPI
Mwanamke ambaye ni ndugu wa washtakiwa hao, alionekana kama mtu aliyepandwa mashetani na kutaka kumvamia askari wa kike ambaye katika kujihami alimpiga ngumi, kisha watu wakafanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.