Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
WapendwJF
Naomba msaada wa kupata nakala ya Kitabu tajwa hapo.Kitabu hiki kwa sasa hakipatikana kwa urahisi kufuatia publisher wake MKUKKI kutotoa vitabu kwa muda mrefu.Nimejaribu kutafuta...
Two Dar residents given jail sentence for armed robbery
By Karama Kenyunko|12th March 2013
The Kisutu Resident Magistrate's Court yesterday gave a 30-year jail sentence to Saud Mluka (33), and...
ni kwamba nilimwekea ndugu yangu mdhamana kwa kesi ya madai ya sh 500,000/= kisha jamaa kaingia mitini na kesi ipo mahakama ya mwanzo kuongea na jamaa (mlalamikaji) yeye yupo tayari nimlipe nusu...
Nina tatizo kubwa sana na hili sakata la video ya Lwakatare na video yake. Mwenye ufafanuzi/maelezo ya kina atujuze hapa:
Kuna mtazamo mwingine wa hili sakata la video ya Lwakatare...
Wadau wa sheria, to what extent electronic evidence is admissible in Tanzania laws? Was the amendment of Electronic Evidence Amendment Act 2007take ncognisance of the fact that electronic...
Habari ya jumapili wapendwa? Ndugu zangu, kuna jamaa namdai hela yangu tsh 250,000 ila jamaa kila kukicha ananipiga tarehe, toka mwaka jana mwezi tatu ananiambia wk ijayo ntaku2mia, ukimpigia cm...
Katika mahakama yeyote duniani moja kati ya haki ya mtuhumiwa(LWAKATARE IN THIS CASE) NI RIGHT TO CONFRONT
AND CROSS EXAMINING WITNESSES ALSO APPLIES TO PHYSICAL EVIDENCE IN THIS CASE NI KAMERA...
Mkurugenzi wa Shirika la Under The Same Sun (UTSS) ,Vicky Ntetema
KWA UFUPI
Matukio ya kuua watu wenye ulemavu wa ngozi(albino0 yalishika kasi miaka minne iliyopita katika mikoa ya Shinyanga...
The determination of the truth value of statements it's an easy step to apply that knowledge to the testing of deductive arguments for validity or invalidity. In a validity argument, if all its...
Kwa ufupi mimi ni kijana wa chuo, nina ishi na baba na mama. Baba yangu ni mfanyabiashara, miaka 10-15 iliyopita baba alifanya biashara kwa karibu na mfanyabiashara mwenzie ambaye ni ndugu, katika...
KESI YA UAMSHO
Jaji Mwampashi alisema sheria iliyotumiwa na DPP kufunga dhamana ya watuhumiwa ambayo ni Ibara ya 19(1)(2) inampa uwezo wa kumuagiza ofisa wa polisi peke yake, si mahakama...
KWA UFUPI
Wengine ni Koplo Rajabu Nkumkwa (46), Koplo Kawanani Hamphrey (34) pamoja na Koplo Kelvin Mohamed (44). Kongora alidai kuwa Desemba 18, 2012 katika eneo la Kariakoo Wilaya ya Ilala...
Mchungaji Jean Felix wa kanisa la assembles of God apandishwa kizimbani Moshi, kwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza watu nje ya nchi, ambapo alifanya jaribio la kuwatorosha watoto wawili...
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limemkamata mtu mmoja akiwa anauza CD/VCD/DVD za uchochezi wa kidini.
Polisi mkoani humo wamesema walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu mtu huyo kujihusisha...
HALI HALISI YA MAUAJI YA HASSAN MGALULA:
Askari Polisi hao wakati wakimchukua kwenye usafiri wa Bajaji ya mizigo huku wakiwa wamemkanyaga bila kujali hali mahututi aliyokuwanayo marehemu Hassan...
Sina uhakika ka watoa ajira serikalini wanafahamu vyema kuhusu hii kitu nchini PPP (Public Private Partnership) kuna hiki kiini macho ka si kiini yai inasemekana kipo hapa...
Mkuu wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam,Kamanda SULEMAN KOVA,amesema kwamba Jeshi la Polisi limewafukuza Askari Polisi Watano waliohusika na Wizi wa pesa zaidi ya shilingi Ml,150 walizoiba...
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani...