Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Sheikh Ponda Issa Ponda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeambiwa na Shahidi wa 21, Salma Abdulraatifu (34), katika kesi inayowakabili Sheikh Ponda Issa Ponda (54) na...
Familia yetu inawatoto watatu ambao tunatambulika na ukoo kutokana na utambulisho wa kimila(wachaga),Baba yetu mzazi ameshafariki mwaka 2007 na ametuacha na mama wa kambo ambaye alifunganae ndoa...
Mimi nilikuwa abiria kwenye basi lililopata ajali Mikumi, Morogoro, 2011.
Nilipata majeraha makubwa na kulazwa hospitali kwa miaka miwili-na bado nipo hospitali.
Wakati ndugu wanafuatilia...
Ndugu zangu wana jamii wenzagu mimi ninahitaji ushauri katika hili Kata yangu toka mimi nimezaliwa nimesimiliwa mpaka nimekuwa mkubwa sasa ninaona kwa macho yangu mwenyewe watu wanavyo jichotea...
Habari ya leo waungwana,
Tafadhali ningependa kujua hivi ni kwa nini serikali kama serikali isiwe na vituo maalum ambavyo vingesambazwa mpaka vijijini,vitongojini,mijini na hata baadhi ya mitaa...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi wa kidini.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu hao...
Ndugu wanajamii forum,naomba msaada wa vitabu gani vizuri vya sheria, majina ya waandishi wa vitabu,maduka gani vinapatikana na katika mikoa ipi katika kozi zote za sheria kuanzia ngazi ya...
Salamu wana JF. Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria anazotakiwa kufuata mwalimu ili kuhamia mkoa mwingine. Maana inavyoonekana sasa hivi mpaka bosi wako kwenye halmashauri apende...
MPANGO wa kuwabadilishia hati ya mashtaka viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam Zanzibar (Jumiki) umekwama baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la upande wa mashtaka katika...
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende...
Lawyers profession
like another
as old as itself
as dirty
but even less honest.
By god.!
one sells body
another brain
one forced to do so
another chooses to do so
Damn it !
both...
Wakubwa shikamo, wadogo habari zenu !
Nilikuwa naomba kufahamishwa hivi kama umeolewa ndoa ya kiislam kutokana na sababu zisizo zuirika inabidi kutengana , taratibu gani zinabidi kufuatwa ...
Ukiachilia mbali Sheria ya Mirathi ya Kiislamu, katika Tanzania Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Sheria ya Mirathi ya Kimila hutumika pale ambapo marehemu aliishi kwa kufuata mila na desturi za...
RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla amesema msimamo wa kufikisha serikali mahakamani kutokana na kuvunja sheria za nchi, upo palepale.
Akizungumza ofisini kwake jana...
Mkazi mkoani Singida ametupwa jela miaka 30 na faini ya sh milioni 10 kwa kukutwa na na bunduki akidaiwa kujiandaa kufanya ujangili kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarangile, wilayani Babati:rockon:
Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
Mahakama imeuchambua ushahidihuo na kuona kuna mashahidi ambao ni viongozi wa BAKWATA walitoa ushahidiulioonyesha kuwa kiwanja cha Chang'ombe Markas zamani kilikuwa ni mali ya BAKWATAlakini...