Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nani anaifahamu hii page ya Facebook iitwayo TUNAWEZA? Like page yao kama support wana mambo yanayotugusa Watanzania wote www.facebook.com/TunawezaZuia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete Jana kiongozi huyo wa nchi, aliwaapisha majaji wapya wa Mahakama ya Rufaa ambao ni Jaji Profesa Ibrahimu Juma na Jaji Bethewel Mmilla.Kabla ya...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Umeme imekuwa tatizo sugu, katika nchi yetu, unakatika bila taaria unarudi, unakatika imetuunguzia vifaa vya thamani kubwa sana, machine za huduma ya afya, yenye thamani ya karibia milion 250...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Nimeish na mume wangu miaka 11,wote tulikuana hatuna uwezo,tukaanza maisha pamoja,mimi nilikua nimeajiriwa nauza duka na yeye dereva,Badae niliacha kazi kulea mtoto wetu wa kwanza,Yeye aliendelea...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba anatarajia kuhojiwa leo na mawakili wa Serikali, baada ya kumaliza utetezi wake kuhusu tuhuma za kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Alex Stewart na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida sasa kuonyeshwa picha za marehemu katika magazeti na vyombo vingine vya habari na hata pale vifo hivyo vinapotokana na ajali. Maiti wanakuwa katika hali ambayo ni ya fadhaa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf wenzangu, Nina uncle wangu kaniomba nimsaidie kumtafutia mwanasheria ambae ataweza kumsaidi kufungua mashtaka juu ya kampuni ya Airtel,airtel wamejenga mnara wao ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wjf; nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kwenye private company apa dar. jamaa wamemuachisha kazi(unfairtermination of contract) bila sababu ya msingi, jamaa kafanyanao miezi 5 na siku...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Habarini wanajamvi,ni kijana wa kiume,nina miaka 23,ninasoma chuo kikuu Iringa,mwaka wa tatu,ninasomea sheria( LLB),kwa hali na mali natafuta sponsor,awe an individual,organisation or...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Is the judicial system of tanzania an independent one?????? Sytem za uendeshaji wa shughuli za mahakama za tanzania ni system huru?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Joseph Marwa Mlemavu wa macho (kipofu) Mkazi wa Bomani Mjini Tarime akitoa maoni yake ya katiba mpya katika uwanja wa sabasaba maoni yake anaomba katiba mpya iwajali watu wenye ulemavu...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari wana bodi naomba kuuliza kama kuna sheria yoyote ambayo ninaweza kumshitaki huyu mama diwan aliyefukuzwa kutoka chadema na kujiunga na ccm na kusudia kumshitaki sio kwa sababu kutoa siri ya...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
HUKUMU YA KESI YA MAUAJI YA SWETU FUNDIKIRA: Katika kesi inayoumuhusu Swetu Fundukira hakimu wakati wanasoma hukumu alikariri maneno yafuatayo:- "Sheria iko wazi ukiondoka na mtu au...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu; Bado miaka mitatu tuingie kwenye uchaguzi Mkuu mwingine yaani 2015. Naomba tusaidiane kwa hili jambo. Hivi kiongozi wa kisiasa akituhumiwa kwa kosa fulani la kimaadili; akiomba kwa...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
JESHI la Polisi mkoani Kiliamanjaro, limeingia katika kashfa baada ya askari wake wawili kudaiwa kumlisha sumu mtuhumiwa waliyemkamata na mbao zinazodaiwa kuvunwa isivyo halali na kusababisha kifo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Zamani kidogo(wakati ndio naanza kujua jema na baya),Wanasheria hususani Mawakili walisifika kwa sifa nyingi zisizovutia. Walionekana waongo,wezi,wauaji,watetezi wa wakosaji na kadhalika. Si...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Daniel Mjema, Moshi (email the author) Hata hivyo, Hakimu Kobelo alisema chini ya kifungu cha sheria kilichotumika kuwaondolea watu hao mashtaka, watuhumiwa wanaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom