Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu naomba msaada wa kisheria mimi nimeagiza tablets tatu, smartphone moja na laptop moja kutoka China thamani halisi ya mzigo ni dola 680 watu wa custom Tanzania wananiomba dola 300 kama ushuru...
Viongozi wa kikundi cha kiislamu cha uamsho cha zanzibar wamefikishwa tena leo ktk mahakama ya mwanakwerekwe znz na kururudishwa rumande kwa kuendelea kukosa dhamana.
Wakili wao ameendelea...
Kwa hakika kitendo cha Serikali kuamua ku-centralise mambo ya kuomba ruhusa kwenda nje ya nchi kinatuvuruga sana sana. Suala la kwamba kila mfanyakazi wa serikali ni lazima apewe ruhusa na IKULU...
Habari za muda huu wakuu..
Shemeji yenu mtarajiwa ni binti wa Kikenya. Anasoma sheria (LLB) huko huko Kenya. Ila tuna mpango wa kuja kuishi pamoja huku Bongo.
Yeye mwenyewe anasema angetamani...
Kwa muda wa miaka kadhaa sasa Tanzania tafiti zinaonesha kuwa kinara namba moja wa rushwa ni idara ya polisi ikifuatiwa na Mahakama. Kimsingi kazi ya polisi ni kuhakikisha inawakamata na...
Je wajua kuwa 2007 manispaa ya kinondoni ilitaka kubomoa jengo la rose garden pub lililoko mikocheni kwa sababu limejengwa katika hifadhi ya barabara lakini mhe john pombe magufuli akiwa waziri wa...
Habari wana jamvi,ningependa kupata msaada wa hayo yaliyosemwa hapo juu kwa vigezo vya kisheria na kiutu.
Je ni sawa kwa trafiki kuchukua lesen yako na kukaa nayo?
Ni hayo tu.
Unyama wa kutisha Jumamosi, Novemba 17, 2012 08:34 Na Victor Bariety, Karagwe
*Polisi wadaiwa kuchoma nyumba za wananchi
*Wengi wakosa makazi, waishi...
naomba yeyote anayezifahamu sheria za usalama barabarani tanzania anijuze,maana nimeangalia katika mtandao sijaona kitu cha maana. je zipo wazi ama zinafichwa? ili ulaji uendelee?
TAARIFA YA WIKILEAKS-UDOM
HATIMA YA UDOSO-FEDERAION
UTANGULIZI:
Kwanza kabisa tunapenda kutoa pongezi kwa makamanda wote wapigania haki za msingi kwa wanafunzi wenzetu, tutakuwa wachoyo wa...
Nimemsikiliza huyo Mama hata jina lake sikutaka kulijua.
Anasema Police walifika pale kutuliza ghasia, huku wakirusha au piga risasi juu kwa BAHATI MBAYA ikampata Raia Mmoja.
Nataka kujua hawa...
Danda writes to matata offering to sell her,his sewing machine at Tsh.75000/.he leaves the offer open for seven days.on the second day he changed his mind and wrote a letter revoking his offer...
RE: THREATS TO ASSASSINATE
ADVOCATE EDWIN IGENGE (ROLL NO.1387) FOR BEING A DEFENCE COUNSEL IN CRIMINAL CASE NO 59/2012 BEFORE HON MKWAWA RM- INCHARGE
Dear President of our Valued TLS...
Mh zitto ametoa sababu maalum zilizomfanya kuamua kugombania uenyekiti wa chadema....pamoja na hayo aameomba uchaguzi uwe huru.....
na zaidi ya yote amemaliza kwa kuwakandia vigogo wa chadema na...
Utangulizi
Kuna wakati ambapo, raia au binadamu yeyote yule anatakiwa achukue msimamo. Kuna baadhi ya matukio ambayo yanatukia katika maisha na mazingira yetu ambayo yanatulazimisha kufanya...
Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda
Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu...
Kwa mfano mtu anafanya kazi na kampuni fulani, baada ya muda hiyo kampuni inatolewa kutoka kwa mwendeshaji moja na kupewa mwingine na inabadilishwa jina. Mwendeshaji mpya anaamua kutoa mikataba...
x,y na z walkua wanamhisi mr wasiwasi kuwa ni mwizi...wakapanga wamfix mr wasiwasi sasa siku moja wakamshika wasiwasi sehem amabayo ni isolated...X akatoa suggestion wamuue mr wasiwasi,Y yeye...
MWANAMKE anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto, hatimaye amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Mbeya kujibu shtaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.