Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nakwazika kidogo ama sina ufahamu sana katika hili ndio maana nimejitosa humu kwa magwiji wa sheria nipate mwanga zaidi Nikiwa katika pitapita zangu za misele ya friday night around saa sita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inatisha! Aliyefungwa miaka 15 kukutwa uraiani tena akiwa na silaha za kivita. Magereza wanafanya nini? Haya ndiyo makandokando ya rushwa. Kama kawaida yetu Watanzania hakuna atakayewajibika...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Rais Morsi amejitafutia kinga kubwa kuwa farao wa sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UKISOMA GAZETI LA ANNUR LA LEO, BASI WEWE KAMA MUISLAM UNAWEZA UKALIA NA UKAHUZUNIKA KABISA. KAMA UPO SEREKALINI UNAWEZA UKAJIULIZA MARA 100 UNAFANYA KAZI HIYO KWA FAIDA YA NANI? Mmoja ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, imewahukumu kifungo cha maisha vijana wawili kwa makosa mawili ya ubakaji na kumuambukiza ugonjwa wa ukimwi mtoto wa miaka minne. Akitoa hukumu hizo kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Masoud Ali|Mahakamani vuga|22-11-2012 viongozi wa uamsho ambao kwa sasa tayari wameshakaa rumande kwa muda wa mwezi mmoja wamefikishwa tena katika mhakama kuu ya vuga asubuhi ya leo kwa lengo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hali isiyo ya kawaida polisi wa kituo kikuu cha Rombo wasababisha kifo cha kijana Massawe katika maeneo ya rombo baada yakuombwa rushwa ya Tsh laki tatu kwa lengo la wao kumsamehe kumpeleka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali iliyonistaajabisha wanawake waislamu walikuja juu na kuivunjilia mbali hoja ya kuanzishwa mahakama ya kadhi kwa sheria ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hali hii ilitokea...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Nafikiri kuna kitu kimenipita. Kuuwa ni kosa baya na kubwa sana, ila hukumu ya kunyongwa lazima kosa lithibitishwe kwa ushahidi usio na mawaa wala chenga chenga, sasa jaji kuhukumu kunyonga kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
VURUGU kubwa kati ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Watanzania (JWTZ) Kikosi cha 44 KJ, mkoani Mbeya na wananchi wa eneo la Mbali zinadaiwa kusababisha kifo cha mtu mmoja. Vurugu hizo, zilizotokea...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Endapo ninataka kuuza dhamana ya mdaiwa, ni hatua zipi zifuatwe. Naombeni msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wanajua fika faida ya jeshi hilo kwa nchi yetu. Nina mawazo kuwa kuwe na kipengele katika katiba mpya ikisisitiza kuwa ni wajibu kwa kila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu Godbless Lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi. Kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada wa namna ya kusajili: Ukweli ni kuwa nataka kusajili chombo ambacho kimsingi nikutoa huduma ya elimu, kama kampuni. Lakini wakati huo huo niweze kupatamisaada kama ambavyo NGO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesi inayowakabili viongozi wa Uamsho imeendelea leo katika mahakama ya Vuga huku Zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi Rat 29 mwezi huu...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Kilimanjaro, Ramadhan Ng’anzi, ameingia katika kashfa akihusishwa na tuhuma za kuwalinda na kuwakumbatia wafanyabiashara wanaojihusisha na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar leo (Nov 21, 2012) imepunguza masharti ya dhamana kwa Viongozi saba wa Jumuiya mbili za Kiislamu Zanzibar, wanaokabiliwa na mashtaka ya...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
MAHAKAMA Kuu ya Vuga, mjini Zanzibar, imetoa ushauri kwa viongozi wa Jumuiya mbili za Kiislamu Zanzibar, wanaotuhumiwa kwa makosa ya kuhatarisha usalama wa Taifa, wanaodai kutotendewa haki wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kweli ule usemi wa ukitaka kujua shida ziko wapi nenda hospitalini(za serikali), mahakama na polisi.Hali iliyopo Oysterbay polisi ni zaidi ya huko kote. Binafsi nilipata fursa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
2 Reactions
101 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…