Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu naomba msaada wa kisheria mimi nimeagiza tablets tatu, smartphone moja na laptop moja kutoka China thamani halisi ya mzigo ni dola 680 watu wa custom Tanzania wananiomba dola 300 kama ushuru...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Viongozi wa kikundi cha kiislamu cha uamsho cha zanzibar wamefikishwa tena leo ktk mahakama ya mwanakwerekwe znz na kururudishwa rumande kwa kuendelea kukosa dhamana. Wakili wao ameendelea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa hakika kitendo cha Serikali kuamua ku-centralise mambo ya kuomba ruhusa kwenda nje ya nchi kinatuvuruga sana sana. Suala la kwamba kila mfanyakazi wa serikali ni lazima apewe ruhusa na IKULU...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu.. Shemeji yenu mtarajiwa ni binti wa Kikenya. Anasoma sheria (LLB) huko huko Kenya. Ila tuna mpango wa kuja kuishi pamoja huku Bongo. Yeye mwenyewe anasema angetamani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa muda wa miaka kadhaa sasa Tanzania tafiti zinaonesha kuwa kinara namba moja wa rushwa ni idara ya polisi ikifuatiwa na Mahakama. Kimsingi kazi ya polisi ni kuhakikisha inawakamata na...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Je wajua kuwa 2007 manispaa ya kinondoni ilitaka kubomoa jengo la rose garden pub lililoko mikocheni kwa sababu limejengwa katika hifadhi ya barabara lakini mhe john pombe magufuli akiwa waziri wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi,ningependa kupata msaada wa hayo yaliyosemwa hapo juu kwa vigezo vya kisheria na kiutu. Je ni sawa kwa trafiki kuchukua lesen yako na kukaa nayo? Ni hayo tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unyama wa kutisha Jumamosi, Novemba 17, 2012 08:34 Na Victor Bariety, Karagwe *Polisi wadaiwa kuchoma nyumba za wananchi *Wengi wakosa makazi, waishi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba yeyote anayezifahamu sheria za usalama barabarani tanzania anijuze,maana nimeangalia katika mtandao sijaona kitu cha maana. je zipo wazi ama zinafichwa? ili ulaji uendelee?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
TAARIFA YA WIKILEAKS-UDOM HATIMA YA UDOSO-FEDERAION UTANGULIZI: Kwanza kabisa tunapenda kutoa pongezi kwa makamanda wote wapigania haki za msingi kwa wanafunzi wenzetu, tutakuwa wachoyo wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimemsikiliza huyo Mama hata jina lake sikutaka kulijua. Anasema Police walifika pale kutuliza ghasia, huku wakirusha au piga risasi juu kwa BAHATI MBAYA ikampata Raia Mmoja. Nataka kujua hawa...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Danda writes to matata offering to sell her,his sewing machine at Tsh.75000/.he leaves the offer open for seven days.on the second day he changed his mind and wrote a letter revoking his offer...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
RE: THREATS TO ASSASSINATE ADVOCATE EDWIN IGENGE (ROLL NO.1387) FOR BEING A DEFENCE COUNSEL IN CRIMINAL CASE NO 59/2012 BEFORE HON MKWAWA RM- INCHARGE Dear President of our Valued TLS...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh zitto ametoa sababu maalum zilizomfanya kuamua kugombania uenyekiti wa chadema....pamoja na hayo aameomba uchaguzi uwe huru..... na zaidi ya yote amemaliza kwa kuwakandia vigogo wa chadema na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utangulizi Kuna wakati ambapo, raia au binadamu yeyote yule anatakiwa achukue msimamo. Kuna baadhi ya matukio ambayo yanatukia katika maisha na mazingira yetu ambayo yanatulazimisha kufanya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
November 13, 2012 Kushoto ni mtoto huyo akiwa amekatwa mkono wa kushoto ambao uliunguzwa vibaya na mama yake mdogo, kama...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mfano mtu anafanya kazi na kampuni fulani, baada ya muda hiyo kampuni inatolewa kutoka kwa mwendeshaji moja na kupewa mwingine na inabadilishwa jina. Mwendeshaji mpya anaamua kutoa mikataba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
x,y na z walkua wanamhisi mr wasiwasi kuwa ni mwizi...wakapanga wamfix mr wasiwasi sasa siku moja wakamshika wasiwasi sehem amabayo ni isolated...X akatoa suggestion wamuue mr wasiwasi,Y yeye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MWANAMKE anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto, hatimaye amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Mbeya kujibu shtaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…