Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mimi nimezaliwa Tanzania Dar Es Salaam, asili yangu ni Mkoa waKilimanjaro. Nimesomea na kukulia Dar,kwenye miaka ya 1998 nilienda chuo nchini Uingereza. Nikiwa nchini humo nilisoma nakufanikiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wamemchagua mwenyekiti wao wa mtaa, Lakini sasa, wameamua Kumwondoa kiongozi huyu asiyewajibika! Je wafuate taratibu zipi na ni sababu zipi zinazoweza kumwondoa kiongozi wa Kitongoji/mtaa madarakani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti...
4 Reactions
88 Replies
10K Views
katika pita pita yangu nikutana na kesi moja inayomkabili mwl mmoja maelezo ya awali. 1.shuleni kwao hawajalipwa mishara miezi mitatu sasa 2.yeye ni mwl tu si mhasibu wa shule sasa - mwl wa watu...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Christopher Basil "Kit" Cunningham IC, MBE (18 November 1931 – 12 December 2010) was a British priest. For almost 30 years, as the rector of St Etheldreda's Church, Ely Place, Cunningham was...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Muslim woman married a Christian believer without her parents consent under (Civil Marriage) and they even didn't know of it. then they become separated without divorce and she went on and...
0 Reactions
4 Replies
986 Views
Majaji wa mahakama kuu ya tanzania na wale wa mahakama ya rufaa ndio wanaoongoza kula raha dunia kama ifuatavyo; tarehe 15 desemba mapaka 31 januari huwa wanakwenda likizo ya xmas...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wana JF. Tafadhali naombeni mniambie mtaalamu wa sheria atakayeweza kuandika makala za sheria katika gazeti letu ambaye ni mzoefu. tafadhali unayemjua nipatatieni na namba zake tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
CCM NA JK WAZIVUNJA KATIBA ZA NCHI NA CHAMA , RAIA WA MAREKANI WAPIGA KURA DODOMA. MAJINA HAYA HAPA RAIA WA MAREKANI NA UINGEREZA WASHIRIKI MKUTANO WA CCM DODOMA, WATUMIWA NAULI KUSHIRIKI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Eneo ninaloishi kuna vibaka wengi sana. Usiku wanaruka ukluta na kuingia uani mwangu na kuondoka na chochote wanachokikuta iwe ni kikombe, ndoo, beseni, nguo nk. Kuna nondo za ujenzi nimenunua na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jamani wana jamii naombeni msaada wa kisheria ilikuwa mwezi wa kumi na mbili mwaka 2010 mdogo wangu alifariki dunia baada ya kuchomwa kisu na jambazi na kufanikiwa kunyang'anywa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Saturday, November 10, 2012 RAIS wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Francois Bozize, anaripotiwa kuchukua hatua isiyo ya kawaida ya kuamrisha mwanawe mwenyewe wa kiume afungwe, kwa sababu hakulipa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kijana maarufu kwa jina la Karama AKA Don ambaye inasiadikiwa kuwa ndie aliemletea Mufti Mkuu Sheikh Issa Shaaban Simba Kasheshe kwa kumuunganishia Deal la kuuza mali za waislam Jiji Dar es salaam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mi ni mkenya naomba kujua kama koti itanisaidia kwa hili.niko na binti tunapendana sana ila babake amekuwa kero kwa penzi letu siku za karibuni amenikazia hata kuona huyo binti nivigumu,je naweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati mwengine hapa ukumbini watu wanaitana wajinga. Ni lazima tujue kuwa kumwambia hivyo mwenzio anaweza kukushitaki, kwani hilo ni kosa la jinai. "Na shitaka la nne ambalo linamkabili Sheikh...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I'm looking for a Shareholders Agreement Something similar to this: Shareholders Agreement Template | Download Sample Today | UK Document Anyone?
0 Reactions
0 Replies
763 Views
09/11/2012 0 Comments Habari imeandikwa na Happiness Katabazi KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Mukadam Abdal Swalehe (45), jana alijikuta akifikishwa katika Mahakama ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uamuzi wa Zitto kuleta hoja ya kutaka iundwe Kamati Teule kuchunguza mambo yanayohusiana na utoroshaji wa fedha na ufichwaji wa fedha hizo kwenye akaunti za nje ya nchi unahitaji kupongezwa...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
kuna uhalali gan kulipia sh 1500 kwa kila sahihi ya hakimu endapo unahitaji kiapo mahakaman?
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Mimi kwenye cheti cha kuzaliwa nimeandikisha majina mawili yaani Frank Mkono lakini kwenye vyeti vya taaluma natumia jina moja yaani Mkono hili jina la Frank ni ubatizo je hii haiwezi kuleta...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…