Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Best wangu ametengana na mumewe wa ndoa (ya miaka 7 na ushee) huu ni mwaka wa pili sasa, walibarikiwa mtoto mmoja ambaye ni above 7 lakini under 18. Kwa sasa mtoto yupo kwa baba yake na hakuna...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Wakuu, Nimeona si vibaya nikiwataadhalisha mkawa makini pale mnapoingia katika gate la mlimani city ili msije mkapata usumbufu kama ulinionipata mimi Ni hivi ukiingia pale hasa ili geti...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Zijue haki zako na wajibu wako, usimamishwapo na polisi wakati unaedesha gari. Usitoe rushwa na Usipokee rushwa: Ndugu wadau hapo kwenye amabatanisho (attachments)kuna waraka alio utoa ndugu yetu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova. Na Makongoro Oging' WIKI iliyopita katika safu hii tuliandika habari kuhusiana na wizi wa shilingi milioni 700 zilizoibwa kwa Mary Mramba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiongozi wa Askari magereza, akiwaongoza Sheikh Ponda na wenzake, kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yao. Sheikh Ponda Issa Ponda...
4 Reactions
56 Replies
14K Views
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
BARAZA LA KHABARI TANZANIA MCT LASHITUSHWA NA KUZUIWA VYOMBO VYA KHABARI BINAFSI ZANZIBAR KUZUIWA KUTANGAZA TAARIFA ZA UAMSHOWritten by Harith // 03/11/2012 // Habari // No comments BARAZA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baraza la mawakili (The Legal Education Council of Tanzania)lililoketi mwanzoni mwa wiki hii jijini Arusha ili kumtahini Bwana James Millya, Amefaulu na hivyo kuanzia sasa atajulikana kama...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama utakumbuka vizuri katika kikao kilichopita cha bajeti ya serikali bungeni Dodoma, wizara ya fedha ilipeleka mswada bungeni wa kurekebisha viwango mbalimbali vya ushuru ikiwemo ule wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida binti wa miaka 11 anayesoma darasa la sita alibakwa na babu zake wawili wenye zaidi ya miaka 50,tukio hilo lilitokea nyakati mbili tofauti wakati tukio la kwanza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani,hawa watu sawa weonekana kufanya makosa in the society,ila ni haki kweli kumpa mlo mmoja kwa siku kama inavyosikika kwa sababu ni mfungwa? Zitto Kabwe aliuliza swali la ukweli,"wafungwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Majaji hawa 7 wa Mahakama ya Rufaa wakiongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu Augustino Ramadhan,akisaidiwa na majaji wenzake 6 ambao ni Eusebio Munuo, Januari Msofe, Benard Luanda, Mbarouk Mbarouk...
11 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa mwana jf aliyebahatika kupita njia ya mandela maeneo ya taraza siku ya leo atakuwa amekutana na vijana waliovaalia mashati meupe yenye mikono mirefu ambayo kifuani kwenye mfuko yamechorwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani ndugu wana jf...niliwahi kufanya kazi ya ku-supply vifaa Halmashauri ya wilaya moja hivi. Kwanza malipo yangu yalichelewa sana mpaka ikabidi nianze kutishia kwenda mahakamani. Baada ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Abiria wasiovaa ‘helmeti’ sasa kutozwa Sh30,000 Posted Friday, November 2 2012 at 08:21 In Summary “Akikamatwa abiria hakuvaa kofia ngumu atatozwa faini ya Sh 30,000 au kufikishwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikikutana na swali ili kwa vijana mbal mbali, ati bod ya mikopo ya vyuo vikuu nchini inatoa mkopo kwa wanaojiunga kwa masomo ya law xul?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KESI YA MWANGOSI: Mtuhumiwa afichwa sura na Gustav Chahe, Iringa|Tanzania Daima JESHI la Polisi mkoani Iringa, limeendeleza usiri mkubwa wa kumficha mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu mimi ni mfanyakazi wa taasisi moja binafsi hapa iringa, kuna mishahara ya wafanyakazi inapitia bank ya CRDB Iringa branch... Mishahara ya mwezi huu imeingia ila watu karibu 9 wamekuta...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wanasheria tunaomba msaada. Hivi ni utaratibu gani unatumika kubadili sheria kama ya fao la kujitoa. Kabaka katangaza bungeni na SSRA wametoa taarifa magazetini. unatengua sheria ya bunge kwa...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Nilikuwa nisafiri kwa shirika fulani la ndege toka Dar kwenda Nairobi. Nikaahirisha safari. nikatoa taarifa airport mahali nilipolipia na kuwaambia nimeshindwa kusafiri, wakasema tiket itakuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom