Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wadau, Wiki iliyopita nilikwenda pale TRA Mwenge kulipia road licence. Nilipokewa vizuri na mabinti pale reception na baada ya kuwaeleza shida yangu, walinisaidia kujaza form zinazotakiwa na...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Jela ni kwa ajili ya nini? Kufundisha? Kutesa? Kudhalilisha au ni kwa ajili ya nini hasa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sou a: UdG › European Master in Tourism Management › Presentation Presentation Introduction Structure Program First Semester Second Semester Third Semester Fourth...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba ambaye anaufahamu na swali hilo (thread inajieleza) anisaidie. Kwa wale waliosoma INVESTMENT LAW watakuwa na ufahamu zaidi. Atakayenijibu kwa ufasaha nitam-tip vocha...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wenye taarifa zaidi naomba watujuze kuhusiana na kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania. Wadau mliopo Kisutu mna loloteeeeeee?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sheria inasemaje iwapo unamkopo thru mshahara na mwajiri alikudhamini then akakufukuza Kazi. Bank inamudai nani? Naombeni ushauri WA kisheria
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This is part of the observation by some learned members of TLS on the border Dispute between Tanzania and Malawi as posted via members' emails . Observations and comments are invited .-------...
1 Reactions
0 Replies
901 Views
wana jamii habari za leo? kuna ndugu mmoja alioa miaka 7 iliyopita kwa ndoa ya kanisaniakaishi na mkewe kwa kipindi cha miaka minne.baada ya hapo kukaanza matatizo katika ndoa hiyo ambayo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mnamo mwaka 2008nilianza kazi Bagamoyo-Matipwili,nikafanya kazi hadi 2011,nikaomba ruhusa kwenda kusoma,,DEO Alipojua nilzamu yangu kwenda kusoma akanihamisha na mi chuo nilipata,,,,...:na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo, Kigamboni haina serikali. Watu wanaendesha maisha wanavyotaka wao. Ikifika saa mbili usiku nauli za daladala zinapandishwa kwa kiwango wapendacho madereva kuanzia TZS 500 hadi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kituo cha matangazo cha televisheni cha ATN kimevamiwa na watu wasiofahamika. Watu hao wamefanikiwa kuvunja mali zote ikiwemo na kung'oa vifaa vyote vya...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
kutoka page yao ya facebook. "TUPO MAHAKAMANI HAPA............ Ndugu Wakiisalamu. Assalama Aleykum W.W Hapa Tupo mahakama ya Mwanakwerekwe tunawasubiri viongozi wetu waletwe hapa.ili...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Mimi kama mzalendo na mzawa wa Tanzania naishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kusitisha na kufuta kabisa liseni za Uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai Tanzania. Nchi inatia aibu. Meno ya Tembo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE PREVENTION OF TERRORISM ACT, 2002 ARRANGEMENT OF SECTIONS Section Title PART I PRELIMINARY PROVISIONS 1. Short title. 2. Application. 3. Interpretation PART II...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba tujadili sakata hili kati ya Yanga na Vodacom bila kuingiza unazi wowote, je ni halali kwa Yanga kukataa kuvaa jezi yenye logo ya mdhamini (Vodacom) ambayo ina rangi nyeupe na nyekundu kwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku moja nilisafiri kutoka mkoani kuja Dar es Salaam kwa basi, siti niliyokaa kulikuwa na mama mmoja tulikaa siti moja, njia tulikuwa tunapiga stori kwa furaha. Lakini tulipokaribia Mbezi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2009 nilinunua gari yangu aina ya Toyota kupitia rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara wa kuagiza magari yaliyotumika toka japani. Huyu rafiki yangu pia ni mwanasheria, tuliandikishana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna Mahakama hata moja nchini Tanzania itakayotamka kuwa kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa,1971 kinaonesha uwepo wa ndoa badala ya Dhanio la Ndoa. Hata Jaji Laurence Kaduri anajua vyema. Ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimemaliza chuo 2009, Bachelor. Nilipata 60%. Hadi sasa sijajitokeza kwenye malipo/makato. Nitegemee nini? Muda wa kuanza kulipa (grace period) tokea kumaliza chuo ni miaka ngapi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom