Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
This shows that the Judiciary is trying to hold its muscles and seek its independence. But why after 10 years? Just Delayed is justice denied! Mama Tibaijuka sasa waweza rudi kuendesha chombo...
Leo kanisa lingine limechomwa,najiandaa kwa machungu nina hasira hadi natetemeka magaidi wakija kanisani kwetu nikawakata vichwa kama DAGAA! nitavunja amri ya usiue?? Mbona Biblia inasema Mungu...
Kumekuwa na hali ya kuvamiwa kwa biashara tofauti na haijulikani hivi vurugu zitaenda mpaka lini. Serikali imeshidwa kulinda watu na familia zao na tunaona kila siku watu wanaweza kwenda na...
Endapo mtu akapewa adhabu ya death punishment, je anaweza kutumia katiba ya Jamhuri ya Muungano kujitetea kwani hairuhusu mtu kuuawa na kwanini sheria hizi zipingane wakati zinatumika mahala...
Je unajua kwamba ukisimamishwa kwa mkono wa kushoto na polisi wa barabarani kwa mkono wa kushoto unatakiwa upite kwa kuwa wakati huo atakuwa anasimamisha wa nyuma yako?
Leo nilikuwa mahakamani , nilishangaa kuona hata hawa wauaji (polisi) na wengineo wakinyenyekea na kila mara kabla ya kuongea uanza na "muheshimiwa"
nikajiuliza je nikimuita ndungu Hakimu kuna Kosa?
A Catholic Christian Masanja Hamis, 27 yrs of Kahama Parish, Kahama Disrict, Shinyanga region in Tanzania, was imprisoned for 4 months being accused of slaughtering animals for commercial purpose...
Police in Gwembe have arrested and detained a 27-year-old man for indecent curiosity.Wycliff Ntundu of House Number 70 in Gwembe Township did on Tuesday this week, wilfully and unlawfully peep...
Nashangaa ni nini kinaendelea?
Huduma za afya ni duni, Hospitali hazina vifaa,madaktari wana migomo baridi (mishahara duni katika sekta ya afya), mfumuko wa bei, stress za maisha, elimu duni...
READ THE FOLLOWING PROVISION OF LAW AND THEN ATTEMPTQUESTIONS BELOW:
10_(1) A child shall not be admitted or allowed to attendany primary school untill there has been produced to the person in...
Na Mwandishi wetu | Nipashe
Watanzania takribani 120 wanashikiliwa katika mahabusu za Iran kwa makosa mbalimbali kwa miaka minne sasa huku jitihada za serikali ya Tanzania kuwanusuru zikiwa...
Watuhumiwawa vurugu za Mbagala wiki iliyopita, wakiwa chini ya ulinziwa polisi,
walipofikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa
mara ya kwanza jana. Watuhumiwa 29, wawili...
Baro, 54, was arrested on March 12 in Bugumba village, Iganga district after he was found in possession of a compact disc with videos showing two girls sucking his genitals.
He was yesterday...
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu...
Kulinda raia na mali zao ni daraka la serikali, hivyo basi ikiwa serikali imeshindwa kuwadhibiti Waislamu wanaofanya fujo na kuchoma mali za watu na makanisa, serikali inapaswa kutoa fidia kwa...
Watu 37 wamefikishwa mahakamani nchini Tanzania kwa kuharibu makanisa huko Mbagala. Wamefanya uharibifu wa kuchoma makanisa na kuiba pesa na vitu vya thamani inayozidi dola laki tatu.
Source: BBB...
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema...
Kesi ya DECI imewagusa Wachache huku Wahusika Kamili kutoka Serikalini wameachwa na Viongozi wa dini wakiwemo maaskofu na Wachungaji waliohamasisha Watu kupitia TV na Radio zao wameachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.