Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hello, leo nakuletea summary ya kesi maarufu ya mauaji, ambayo iliwahi kuitikisa Tanzania enzi hizo (2006). Ni kesi ya ‘Abdallah Zombe na wenzake 12.’
Hii ni summary (muhtasari au dondoo) kwa...
Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa linaloweza kuchukuliwa hatua chini ya kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Ndoa (Sura ya 29 R.E 2019). Ikiwa mlalamikaji atathibitisha kuwa aliyekiuka ahadi...
Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani...
Wabobezi katika sheria za muungano wa kampuni naomba msaada wa kisheria inayohusu JV.
Nina kampuni yangu haina mtaji wala vifaa ila ila ina watu wenye uwezo wa kutafta fursa za kazi (tenders)...
Usiposomewa Maoni ya Wazee wa Baraza kwenye kesi za ardhi, hiyo kesi nzima ni batili
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241
Kwa wale ambao mna kesi za ardhi katika mabaraza/mahakama za wilaya...
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana...
Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa...
Katika shughuli zetu za kuuza na kununua ambazo tunazifanya kila siku mikataba ya maandishi ni jambo ambalo wengi tunakutana nalo. Mikataba hii iwe rasmi au isiwe rasmi suala la msingi ni kuwa...
Habari zenu wana bodi..
Kama nipo sawa,kama tujuavyo kesi ya mauaji haina dhamana..
Hii kesi ya mauaji kwa mtuhumiwa Elizabeth Michael A.k.a Lulu ilikuwaga mahakamani kipindi hicho wakati wa...
UNATAKA KUNUNUA NYUMBA/KIWANJA?
HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini.
Kwa utafiti wa kawaida...
Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine...
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa...
SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu...
Wakuu naomba kuuliza.
Kuna kabinti jirani na ninako ishi kananiomba nikatoe bikira. Yeye ana miaka 16 mimi 28. Ila si mwanafunzi. Je nikikatimizia haja zake ni makosa kisheria?
Tarehe 5/10/2022 majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kupitia Rufaa Na. 333/2019 kati ya Lawrence Magesa t/a Jopen pharmacy VS Fatuma Omary na Rimina Auction Mart wamesema kuwa pale mpangaji kodi...
Naitwa Peter nipo Kigambon, Mimi ni fundi ujenzi ilikuwa majuzi nilikuwa site nikijenga chemba mara ghafla manispaa wakaingia (wazee wa kibali cha ujenzi) bahati nzuri bosi alikuwepo ko sikuwanza...
Kwanza kabisa natanguliza shukrani
Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi...